Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

Last month nilikuta 15000/= haipo
To day 123,000/= nimevita statement inaonyesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nin?
Kama ni issue ya individual check na HR dept watakupa jibu la swali lako,
 
Angalia isije ikawa bodi ya mikopo ya elimu ya juu… uangalie salary slip utaona imekatwa ya nini
Hiyo Bodi ni hatari sana kwenye kubambikia wanufaika wake madeni mapya.

Unaweza kukuta deni lao liliisha miaka 5 iliyopita, ghafla unashangaa unaletewa makato mapya ya 15% kwenye basic salary yenye vimeo vya kutosha, na huku maelezo yao yakiwa hata hayaeleweki.
 
Si bure ukute ni NEW HESLB LOAN

Wajinga sana hawa sijui system yao ikoje, nilishamaliza mkopo na wakaacha kunikata kwa miaka mitatu halafu wameanza tena kunikata na ni Private Org.
Una liquidation letter kutoka Heslb?
 
Jibu lako ni a few clicks away...., Angalia Salary Slip yako...., kama hakuna maelezo ya kina tembelea tawi lako la benki... (Majibu mengine yoote yatakuwa ni assumptions)
 
Hiyo Bodi ni hatari sana kwenye kubambikia wanufaika wake madeni mapya.

Unaweza kukuta deni lao liliisha miaka 5 iliyopita, ghafla unashangaa unaletewa makato mapya ya 15% kwenye basic salary yenye vimeo vya kutosha, na huku maelezo yao yakiwa hata hayaeleweki.
Si wanufaika tu, hata wasionufaika na mkopo huwa wanabambikiwa,kusitisha makato yao ni mchakato huchukua miezi hadi 3+
 
Last month nilikuta 15,000/= haipo
Today 123,000/= nimevuta statement inaonesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nini?
Huu ni mwisho wa Mwaka ni pesa ya Service i think ya Mwaka ya Account na kama unatunia CRDB na ulijiunga Simba au Yanga Sasa simba au yanga wamechukua Mchango wao
 
Huu ni mwisho wa Mwaka ni pesa ya Service i think ya Mwaka ya Account na kama unatunia CRDB na ulijiunga Simba au Yanga Sasa simba au yanga wamechukua Mchango wao
Yaaan benk statement inaonyesha mashahara umekatwa juu kwa juu so labda salary slip
 
Last month nilikuta 15,000/= haipo
Today 123,000/= nimevuta statement inaonesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nini?
Na ujiandae kiakili mwakani 2024 kuna muda hutapata hata sent
Anguko la kiuchumi nchi hii linakuja na litakuwa kubwa , weka akiba na hakikisha unazalisha pesa kwa kufanya biashara
 
Kuna utaratibu waliuanzisha nadhani mwaka huu, kwamba katika hela unayopata au unayotunza kwenye akaunti yako, wao wanachukua kiasi kingn cha fedha (kuna namna wanakokotoa wajue ni asilimia ngapi wachukue)toka kwa akaunti yako wakidai kua wanakuhifadhia pia lakini ukiitaka utakipata, lakini huo utaratibu haujawekwa wazi vizuri.
Kipindi cha mwanzo salio halisi na lililopo yalikua sawa ila saiv lile lenye access kwa kuitoa linakua pungufu.
Banking is scam , bankers are the biggest crooks and robbers in history
 
Raha Sana mzazi anapokuja shule unapomuholozeshea michango,
Tahadhari TSH 20000.
Kitambulisho Tsh 5000.
Tshirt TSH 12000.
Limu TSH 17000.
Kwanja/fekeo tsh 12000.
Fagio TSH 2000.
Mchango wa mlinzi TSH 5000
Waona raha kabisa full mustarehe wewe nawe miezi miwili TU makato na bado mbaka mseme si mmekubaliana kuchanga pesa ya kumchukulia fomu ndo hiyo mmeanza changa watakata mwaka mzima wamesema na pesa ya kampeni wamejumlishia humo humo
 
Back
Top Bottom