Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

Last month nilikuta 15,000/= haipo
Today 123,000/= nimevuta statement inaonesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nini?
Si nasikia mnamchangia kuchukua fomu?
Au mmeanza na ya klismas.. hehee klismass
 
Back
Top Bottom