The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kuna utaratibu waliuanzisha nadhani mwaka huu, kwamba katika hela unayopata au unayotunza kwenye akaunti yako, wao wanachukua kiasi kingn cha fedha (kuna namna wanakokotoa wajue ni asilimia ngapi wachukue)toka kwa akaunti yako wakidai kua wanakuhifadhia pia lakini ukiitaka utakipata, lakini huo utaratibu haujawekwa wazi vizuri.Mkuu elezea inakuaje hapo,kwamba nmb wanafanyaje?
Ulipataje kazi Mr. yani uandishi wako ni hovyo sana,sidhani kama yupo mwenye akili timamu amekuelewa ulichoandika.Last month nilikuta 15000/= haipo
To day 123,000/= nimevita statement inaonyesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nin?
labda wana kwatoππ kwani mtumishi wa umma ana mapembe?
Si bure ukute ni NEW HESLB LOANLast month nilikuta 15000/= haipo
To day 123,000/= nimevita statement inaonyesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nin?
Sasa kama hujaelewa umejuaje nimekoseaUlipataje kazi Mr. yani uandishi wako ni hovyo sana,sidhani kama yupo mwenye akili timamu amekuelewa ulichoandika.
We kama hujaelewa hakuna sapu we achana na navyo ,sasa Kwan KAZI si ni vigezo unaeza ukawa na uandishi mzur lakin vigezo huna,π€Ulipataje kazi Mr. yani uandishi wako ni hovyo sana,sidhani kama yupo mwenye akili timamu amekuelewa ulichoandika.
Yaan Mimi niliomba kweli mkopo nikapewa 100% lakin nikaama nkaenda private wala hakuna fedha Yao niliochukuwa,ngoja nifanye mchakato wa salary slip ntajua tuSi bure ukute ni NEW HESLB LOAN
Wajinga sana hawa sijui system yao ikoje, nilishamaliza mkopo na wakaacha kunikata kwa miaka mitatu halafu wameanza tena kunikata na ni Private Org.
Angalia kama uliomba "Mkopo Fasta". Nasikia unaweza usipate msg wala kuingizwa kwenye acct yako na ukaanza kukatwa.Nimeshasikia hata mimi na wanafanya hivyo, NMB asilazimishe mtu akatwe hela yake bila ridhaa ndy maana salio halisi siyo kama na lililopo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pesa utoe kumchangia Bi Chaudele kuchukua fomu ya Kuwania Urais 2025 halafu uje ulie lie hapa?
Si tayari watu watumishi wanakatwa makato ya NSSF!Kuna utaratibu waliuanzisha nadhani mwaka huu, kwamba katika hela unayopata au unayotunza kwenye akaunti yako, wao wanachukua kiasi kingn cha fedha (kuna namna wanakokotoa wajue ni asilimia ngapi wachukue)toka kwa akaunti yako wakidai kua wanakuhifadhia pia lakini ukiitaka utakipata, lakini huo utaratibu haujawekwa wazi vizuri.
Kipindi cha mwanzo salio halisi na lililopo yalikua sawa ila saiv lile lenye access kwa kuitoa linakua pungufu.
Ana komwe. π₯΄π₯΄ππ kwani mtumishi wa umma ana mapembe?
Utakuwa ulichukua salary advance,mbona mie sijakatwa hata mia!!?????Last month nilikuta 15000/= haipo
To day 123,000/= nimevita statement inaonyesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nin?