Mbona hamjahoji kuhusu Panadol, Aspirin na ARVs kuwa wazungu wanaweza "kutufanyizia"?

Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kutuchanja??

Chanjo atakayopokea bi mkubwa sio ya wewe kapuku, utaendelea kuwa PANYA WA.MAJARIBIO
Screenshot_20210727-100502_Facebook.jpg
 
Huchanjwi wewe. Tunao chanjwa tuko bwerere!

Hiari na utashi uheshimiwe. Unahitaji kuchanja, chanja bila kuwaona wengine wamepotoka. Ambao hawachanji hali kadhalika waendelee na maamuzi yao bila kubeza wanaochanjwa.
 
Dawa zote alizotaja haziharibu utu wa mtu yaani haziingilii genetic za maumbile ya mwanadamu na wala hazibadilishi vinasaba asilia hivyo hayo machanjo mnayopigia debe yanabadilisha hata uwezo wa kufikiri ndiomaana kwa watu walio smart kama China wanatengeneza vyakwao, kupokea pokea mavitu kwasababu ya umasikini ni kitu kibaya sana , by the way nilishawahi kusema masikini hana maamuzi wakiamua hata kutunyima ARV hao wanaweza kikubwa hapa wanaokataa kwa hoja zao wasichukiwe, kwani ndio mtazamo wao, hili wakati mwingine limakaa kiimani zaidi, ni kama dini tu, kila mtu anaamini vyakwake
 
Mnatumia nguvu kubwa,kama mabeberu wanawapenda wangewaletea chanjo ya ukimwi badala ya vidonge vya kufubaza vyenye madhara makubwa vikishakuzoea
Kwahiyo kwa akili zako kipi bora kati ya vidonge vyakufubaza uendelee angalau kuishi au kuacha kabisa kuitumia kwasababu mabeberu hawajaleta chanjo ya ukimwi?.au unataka watu waache kutumia dawa ili wafe kabisa kwasababu dawa zina madhara?.Hoja yako ni ipi hasa?
 
Dawa zote alizotaja haziharibu utu wa mtu yaani haziingilii genetic za maumbile ya mwanadamu na wala hazibadilishi vinasaba asilia hivyo hayo machanjo mnayopigia debe yanabadilisha hata uwezo wa kufikiri ndiomaana kwa watu walio smart kama China wanatengeneza vyakwao, kupokea pokea mavitu kwasababu ya umasikini ni kitu kibaya sana , by the way nilishawahi kusema masikini hana maamuzi wakiamua hata kutunyima ARV hao wanaweza kikubwa hapa wanaokataa kwa hoja zao wasichukiwe, kwani ndio mtazamo wao, hili wakati mwingine limakaa kiimani zaidi, ni kama dini tu, kila mtu anaamini vyakwake
Kama huo utu na kufikiri, umeshindwa kuutumia kuomdoa umasikini Africa. Unaung'ang'ania wa kazi gani?
 
Mbona umepanic unao nini?Pole endelea kunywa tudawa twako tu mkuu
Kwahiyo kwa akili zako kipi bora kati ya vidonge vyakufubaza uendelee angalau kuishi au kuacha kabisa kuitumia kwasababu mabeberu hawajaleta chanjo ya ukimwi?.au unataka watu waache kutumia dawa ili wafe kabisa kwasababu dawa zina madhara?.Hoja yako ni ipi hasa?
 
Makelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii?

Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA

BCG (Bacile Calmette-Guérin)
DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro)
Surua
Polio

Magonjwa haya ya kila mtu wa hapa Tanzania yanatibiwa na dawa toka wapi?
  • Dondakoo
  • Pepopunda
  • Kifaduro
  • Homa ya Manjano
  • Hepatitis A
  • Hepatitisi B
  • Haemophilus influenzae aina ya b (Hib)
  • Homa ya mafua (mafua)
  • Surua
  • Matumbwitumbwi
  • Kirusi cha rota
  • Surua ya Rubela
  • Pneumococcal
  • Polio
  • Varicela (tetekuwanga)
Yote hayo juu tunatibu kwa dawa zao, humo hawawezi kuweka hicho mnachokihofia kwenye chanjo ya corona?
hata mimi nawashangaa, hivi ukitaka kuua kizazi unaua wazee??? mama wajawazito wanachanja chanjo ngapi? watoto wa chini ya miaka 5 wanachanja chanjo ngapi? hizi ni chanjo zetu ama tunanunua ama kupewa msaada na nani? sasa mzungu angoje kuua vizee vya miaka 50+ kwa faida gani hasa?

Kama hoja ni kuua kizazi - hangaika na chanjo za kinamama wajawazito na watoto under 5 yrs.
 
Suala la kugomea chanjo lipo hadi huko zinapotengenezwa
 
Makelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii?

Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA

BCG (Bacile Calmette-Guérin)
DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro)
Surua
Polio

Magonjwa haya ya kila mtu wa hapa Tanzania yanatibiwa na dawa toka wapi?
  • Dondakoo
  • Pepopunda
  • Kifaduro
  • Homa ya Manjano
  • Hepatitis A
  • Hepatitisi B
  • Haemophilus influenzae aina ya b (Hib)
  • Homa ya mafua (mafua)
  • Surua
  • Matumbwitumbwi
  • Kirusi cha rota
  • Surua ya Rubela
  • Pneumococcal
  • Polio
  • Varicela (tetekuwanga)
Yote hayo juu tunatibu kwa dawa zao, humo hawawezi kuweka hicho mnachokihofia kwenye chanjo ya corona?
Yule mcheza porno amewashika masikio

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
The vaccines are effective at preventing serious illness and death, but they are not a golden shield against the coronavirus.
 
Ni chanjo ipi kati ya hizo ulizozitaja mtu anaendelea kupata maambukizi ya ugonjwa huohuo hata baada ya kuchanja?

Chanjo za Corona Zina upekee mwingi mno kuzilinganisha na nyingine yoyote.
 
Gwajima anapaswa atoke hadharani awaombe Radhi watanzania. vinginevyo atawajibika kwa kauli zake za upotoshaji wakati Taifa lipo ktk mapambano ya janga hili la korona.
Kwani kosa lake ni lipi?

Amesema dhahiri tumuunge mkono raisi wetu katika mapambano dhidi ya Corona ila pia kwakuwa chanjo zimekuja ila anaona ingefanywa hiari ili anayetaka achanjwe na asiyetaka asichanjwe!

Ila kwa ushauri wake yeye binafsi asingeshauri watu kuchanjwa kwa sababu anahisi medical procedures za ku arrive kwenye chanjo hazijafanyika kwa utaratibu sahihi ili chanjo hizo zisije zikatuletea madhara.

Thats by the observation of the Video Clip yake!
 
Damage control? Kasema kila Doctor atakaye administer chanjo ATAKUFAA!! Na kwamba hizo chanjo zimeletwa kutufanya mazezeta and sijui tumepokea kwa sababu tumepewa hela!!

Chanjo zimefanyiwa upembuzi na TMDA/NEMC etc ssa anaposema chanjo zimetolewa bila wataalam wa ndani kuzichunguza huoni ni mis information??

Angepinga chanjo kwa hoja zake ila sio kuanza kupotosha. Ni huyu huyu Aliapa corona itaishia Kenya ila TZ haitofika.... Ni huyu huyu alitabiri JPM kufika 2025 kwa kishindo ina maana nabii hakujua kuwa JPM hawezi maliza second term??

He's fake acheni kumtetea
 
Hao NEMC sijui TMDA hawana uwezo wowote kuchallenge hizo chanjo za mamtoni, hawana Teknolojia hiyo.
 
Hiari na utashi uheshimiwe. Unahitaji kuchanja, chanja bila kuwaona wengine wamepotoka. Ambao hawachanji hali kadhalika waendelee na maamuzi yao bila kubeza wanaochanjwa.

Treni hili hapa:

IMG_20210727_123644_539.jpg

Kudandia kwa mbele ni Hatari 😂😂!

Kutokutaka kwa yeyote chanjo hakutufanyi na sisi wengine kutokutaka pia.

Unapasoma wapi tunapowataka nyie msiotaka mchanjwe? Au kudemka demka tu?!

Ninakazia:

Huchanjwi, wewe. Tunaotaka chanjo tuko bwerere!

Habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom