aAllen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 276
- 364
PepopundaDawa zote alizotaja haziharibu utu wa mtu yaani haziingilii genetic za maumbile ya mwanadamu na wala hazibadilishi vinasaba asilia hivyo hayo machanjo mnayopigia debe yanabadilisha hata uwezo wa kufikiri ndiomaana kwa watu walio smart kama China wanatengeneza vyakwao, kupokea pokea mavitu kwasababu ya umasikini ni kitu kibaya sana , by the way nilishawahi kusema masikini hana maamuzi wakiamua hata kutunyima ARV hao wanaweza kikubwa hapa wanaokataa kwa hoja zao wasichukiwe, kwani ndio mtazamo wao, hili wakati mwingine limakaa kiimani zaidi, ni kama dini tu, kila mtu anaamini vyakwake
Surua