Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Kwanza ujue technology ime-advance sana. Kama ilichukua miaka labda 20 kutengeneza na kuidhinisha chanjo ya Surua (wakati huo tukitumia microscope) usitegeemee leo ichukue miaka kama hiyo! (compare na MRI)Unatumia nguvu mzee. Swala sio kua hazifanyi kazi. Suala ni mda uliotumika kuidhinishwa
Pili corona inaua kwa kasi sana, hivyo muda wa kupoteza ulikuwa haupo; lakini bado WHO wanakwambia wamekagua chanjo zote kwa utaratibu ulioidhinishwa, With technology ni rahisi na haraka kujua kuwa hii chanjo ni sawa au la. Mankumbuka chanjo ya ilimaliza Ebola huko west Africa? Ilikuwa bado iko kwenye majaribio, lakini kwa namna ebola ilivyokuwa inaenda kuzimaliza nchi, hapakuwa na namna bali kutumia hiyo ya majaribio