EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huchanjwi wewe. Tunao chanjwa tuko bwerere!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji382][emoji382][emoji382][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Mtakuja na mifano yote lakini hachanjwi mtu kama barakoa tu wananchi wamewapuuza itakuwa chanjo ???
Kwahiyo kwa akili zako kipi bora kati ya vidonge vyakufubaza uendelee angalau kuishi au kuacha kabisa kuitumia kwasababu mabeberu hawajaleta chanjo ya ukimwi?.au unataka watu waache kutumia dawa ili wafe kabisa kwasababu dawa zina madhara?.Hoja yako ni ipi hasa?Mnatumia nguvu kubwa,kama mabeberu wanawapenda wangewaletea chanjo ya ukimwi badala ya vidonge vya kufubaza vyenye madhara makubwa vikishakuzoea
Kama huo utu na kufikiri, umeshindwa kuutumia kuomdoa umasikini Africa. Unaung'ang'ania wa kazi gani?Dawa zote alizotaja haziharibu utu wa mtu yaani haziingilii genetic za maumbile ya mwanadamu na wala hazibadilishi vinasaba asilia hivyo hayo machanjo mnayopigia debe yanabadilisha hata uwezo wa kufikiri ndiomaana kwa watu walio smart kama China wanatengeneza vyakwao, kupokea pokea mavitu kwasababu ya umasikini ni kitu kibaya sana , by the way nilishawahi kusema masikini hana maamuzi wakiamua hata kutunyima ARV hao wanaweza kikubwa hapa wanaokataa kwa hoja zao wasichukiwe, kwani ndio mtazamo wao, hili wakati mwingine limakaa kiimani zaidi, ni kama dini tu, kila mtu anaamini vyakwake
Kwahiyo kwa akili zako kipi bora kati ya vidonge vyakufubaza uendelee angalau kuishi au kuacha kabisa kuitumia kwasababu mabeberu hawajaleta chanjo ya ukimwi?.au unataka watu waache kutumia dawa ili wafe kabisa kwasababu dawa zina madhara?.Hoja yako ni ipi hasa?
hata mimi nawashangaa, hivi ukitaka kuua kizazi unaua wazee??? mama wajawazito wanachanja chanjo ngapi? watoto wa chini ya miaka 5 wanachanja chanjo ngapi? hizi ni chanjo zetu ama tunanunua ama kupewa msaada na nani? sasa mzungu angoje kuua vizee vya miaka 50+ kwa faida gani hasa?Makelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii?
Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA
BCG (Bacile Calmette-Guérin)
DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro)
Surua
Polio
Magonjwa haya ya kila mtu wa hapa Tanzania yanatibiwa na dawa toka wapi?
Yote hayo juu tunatibu kwa dawa zao, humo hawawezi kuweka hicho mnachokihofia kwenye chanjo ya corona?
- Dondakoo
- Pepopunda
- Kifaduro
- Homa ya Manjano
- Hepatitis A
- Hepatitisi B
- Haemophilus influenzae aina ya b (Hib)
- Homa ya mafua (mafua)
- Surua
- Matumbwitumbwi
- Kirusi cha rota
- Surua ya Rubela
- Pneumococcal
- Polio
- Varicela (tetekuwanga)
Yule mcheza porno amewashika masikioMakelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii?
Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA
BCG (Bacile Calmette-Guérin)
DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro)
Surua
Polio
Magonjwa haya ya kila mtu wa hapa Tanzania yanatibiwa na dawa toka wapi?
Yote hayo juu tunatibu kwa dawa zao, humo hawawezi kuweka hicho mnachokihofia kwenye chanjo ya corona?
- Dondakoo
- Pepopunda
- Kifaduro
- Homa ya Manjano
- Hepatitis A
- Hepatitisi B
- Haemophilus influenzae aina ya b (Hib)
- Homa ya mafua (mafua)
- Surua
- Matumbwitumbwi
- Kirusi cha rota
- Surua ya Rubela
- Pneumococcal
- Polio
- Varicela (tetekuwanga)
Sisi tunachanjwa kama wewe hutaka kafiembali kama jiweMtakuja na mifano yote lakini hachanjwi mtu kama barakoa tu wananchi wamewapuuza itakuwa chanjo ???
Kwani kosa lake ni lipi?Gwajima anapaswa atoke hadharani awaombe Radhi watanzania. vinginevyo atawajibika kwa kauli zake za upotoshaji wakati Taifa lipo ktk mapambano ya janga hili la korona.
Damage control? Kasema kila Doctor atakaye administer chanjo ATAKUFAA!! Na kwamba hizo chanjo zimeletwa kutufanya mazezeta and sijui tumepokea kwa sababu tumepewa hela!!Kwani kosa lake ni lipi?
Amesema dhahiri tumuunge mkono raisi wetu katika mapambano dhidi ya Corona ila pia kwakuwa chanjo zimekuja ila anaona ingefanywa hiari ili anayetaka achanjwe na asiyetaka asichanjwe!
Ila kwa ushauri wake yeye binafsi asingeshauri watu kuchanjwa kwa sababu anahisi medical procedures za ku arrive kwenye chanjo hazijafanyika kwa utaratibu sahihi ili chanjo hizo zisije zikatuletea madhara.
Thats by the observation of the Video Clip yake!
Anatokea mpuuzi mmoja anasema wazungu wanataka kutuua
akikuua wewe bidhaa zake atauza wapi
angetaka ufe angekuacha uteseke na HIV asingehangaika na ARVs
Damage control? Kasema kila Doctor atakaye administer chanjo ATAKUFAA!! Na kwamba hizo chanjo zimeletwa kutufanya mazezeta and sijui tumepokea kwa sababu tumepewa hela!!
Chanjo zimefanyiwa upembuzi na TMDA/NEMC etc ssa anaposema chanjo zimetolewa bila wataalam wa ndani kuzichunguza huoni ni mis information??
Angepinga chanjo kwa hoja zake ila sio kuanza kupotosha. Ni huyu huyu Aliapa corona itaishia Kenya ila TZ haitofika.... Ni huyu huyu alitabiri JPM kufika 2025 kwa kishindo ina maana nabii hakujua kuwa JPM hawezi maliza second term??
He's fake acheni kumtetea
Hiari na utashi uheshimiwe. Unahitaji kuchanja, chanja bila kuwaona wengine wamepotoka. Ambao hawachanji hali kadhalika waendelee na maamuzi yao bila kubeza wanaochanjwa.