Mbona hamjahoji kuhusu Panadol, Aspirin na ARVs kuwa wazungu wanaweza "kutufanyizia"?

Pepopunda
Surua
 
Hicho unachozungumza bro miezi ile ya mwanzo mwanzo wa gonjwa lilivyopamba Moto...bado Kiko kichwani tu au umemkoti gwajiboy...angalia up mtandao wa cdc cheki tarehe ya hiyo taarifa utagindua kuwa bado umejifunika shuka..
Unaonaje kama ukajibu hoja badala ya kuleta vijembe na mipasho?
1.) Ni ya majaribio au la? (Emergency use)

2.) Definition ya chanjo ni nini kwa mujibu wa CDC waliopitisha hicho kinachoitwa chanjo?

Unajua kujibu hoja bila hoja ndio mnazidi kutia watu wasiwasi, jibuni hoja kwa hoja, hoja kwa hoja, hoja kwa hoja hadi tupate ukweli, huo ndio uungwana.
 
Acha kujitoa akili, implication ya muda mfupi ni kutoa kibali kwa hati ya dharura (emergency use authorisation) na hii maana yake ni usalama kutokuwa wa uhakika
 
Nikifa mimi unahasara gani? Chanja wewe. Chanjo zenyewe ziko milion 1tu tukiitaka wote haitotosha
 
Vita hii ni Kati ya Wazalendo na wale wafanyakazi wa kwenye NGO wanaotaka kutetea ugali wao.Hachanjwi mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…