Mbona hao viongozi fake hawatupi uthibitisho wa watu kulipwa fedha, kuvunja amani, kukutwa na silaha

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu.

Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho wazi, kwa nini?
CCM hadi sasa wanatufanya sisi matoyoyo akili zero. Tuamke ndugu zangu.

Na walivyo wajanja wanaenda kuongea na wazee ambao wengi wao akili za kufikili zilishafika kikomo. Wengi wao hawana hata miaka 10 ijayo ya kuishi, wengi wa wazee hao ni wale wanaofikilia kufa kufa tu.
TUSIKUBALI KUDANGANYWA NA HAWA WAPUMBAVU
 
Hebu tuheshimu sie wazee
 
upumbavu tu
alafu kuna mtu ni waziri anaongea huu utoto kwa kudhani atasikilizwa kwa uwaziri wake kumbe anaonekana mpumbavu tu

alafu shida ya mpumbavu huwa hana aibu wala hajishtukiii kama anaonekana mpumbavu yeye huhisi anaonekana mtu wa maana sana
 
Mwigulu simply ni mshamba (mtakumbuka alivyimtembeza mtu aliyemwagiwa tindikali Igunga) kila siku kuna watu wanalipwa kufanya fujo mara wanalipwa milioni tano kila mwezi ,mara kajamatwa na mabomu,mara wamelipwa waonyeshe maiti hajawahi kutuonyesha au hata kusema ni kina nani hao.
Ushamba wake unamfanya adhani Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye rasilimali madini pekee.
Kakulia kuswaga mifugo haoni kwa upana wala mbali.
 
Back
Top Bottom