Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Walikuwa wanadai kero za muungano ambazo haziishi ila awamu ya mama zinamalizwa fastafasta

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani hujui kuwa Zanzibar inatawala Tanganyika katika awamu hii
 
Kipindi cha Magufuli lilikuwepo pia? Nadhani tangu UAMSHO wamepewa kesi ya UGAIDI hii movement ndani ya nchi ilipungua sana. Mleta mada huenda umeileta sasa hivi kwa kuwa Rais ni mzenji lakini sio kweli kuwa zimepungua kelele kipindi hiki tu.
 
Jipe moyo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Jipe moyo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Chakula kipo mdomoni kikishaisha wanaanza kubweka tena
 
Sasa hivi Waanzibar wanakula mema ya nchi, imagine mama ameenda kutembelea France yuko na katibu mkuu wandamizi wa Zanzibar na Tanzania, mwinyi anaitengeneza Zanzibar mama anakamilisha, Wazanzibar wamelizika.
 
Chifu Hangaya anawamwagia mijipesa lukuki Wazanzibari wapige kelele za nini tena?
 
Sasa hivi Waanzibar wanakula mema ya nchi, imagine mama ameenda kutembelea France yuko na katibu mkuu wandamizi wa Zanzibar na Tanzania, mwinyi anaitengeneza Zanzibar mama anakamilisha, Wazanzibar wamelizika.

Wazanzibari hawawezi kula mema ya nchi mpaka hapo watapokuwa huru kutokana Na makucha ya Mkoloni Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…