Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Nature ya uislam kulalamika sana.
 
Ndivyo ulivyoambiwa kanisani Na mchungaji wako
Nikijua utakuja, nikawa nimeshika simu mkononi kusoma ujumbe wako. Kujibu haraka hivi pia ni ushahidi wa tabia hiyo. Ningeshangaa kama nisingejibiwa.

Wakilalamika kidogo bila kusikilizwa, huingia barabarani na mapanga, au bunduki au kujitoa muhanga au kutenga mabomu.

Jamaa zangu wa Mashariki ya kati ndo wako hivo siyo wewe mwislam kanzu hata msikitini hukujui hadi Idd.
 

Hata Mimi nilijuwa utakuja Na umejibu haraka sana , isipokuwa nyani haoni kundule

Ni kwa sababu huonyeshwi yanatokea mitaani Marekani Na London au mitaa ya nchi Za magharibi. Hayo yanatokea Canada hivi Sasa huonyeshwi katu wala huambiwi. Usisahau Ya mrusi Na Ukraina labda nao ni waislamu . Au yaliyotokea South Africa , South Sudan,Congo ,Central Afrika , Cameron nk Na hayo aliyotufanyia Nyerere , Mkapa Na Jiwe labda unayajua
 
Ukiwa unasokota kitu cha arusha unatakiwa uwe unavitoa vile vitunda tunda....hivyo ndo vinakufanya unakuwa kama umerukwa akili

Wewe ikiwa unakula ugali ,mboga kitu cha arusha unakichanganya Na kitu cha Chato matokeo yake ndio haya
 
Sasa hivi wanatawala bara na visiwani. Wanatumia bara kuijenga zenji.
 
Wazanzibari hawawezi kula mema ya nchi mpaka hapo watapokuwa huru kutokana Na makucha ya Mkoloni Tanganyika.
Mbona hamueleweki kwani kwa sasa hii nchi mbona inaongozwa na wanzanzibar nini tena mnataka, sisi Tanganyika ndio tunataka nchi yetu
 
Mikopo tunayokopa Tanganyika inapelekwa Zanzibar, nani atadai uhuru unadhani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…