Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

Nchi kwa sasa inaendeshwa na Mwigulu Nchemba
 
Tunajenga vituo 150 kwa mwaka na 750 by 2025 ,,hii itaendelea hadi 2030 tuwe na vituo takribani 1500 .

Magu alijenga na kukarabati 460 kwa miaka 6 sasa lini tutamaliza vituo 3956 vinavyotakiwa?
Sio kwa mwaka ni kwa mwezi mmoja
 
Ushahidi unao, wa kituo kipi cha afya?
 
Sio kwa mwaka ni kwa mwezi mmoja
Acha porojo kituo cha afya hadi kikamilike kuna majengo yasiyopungua saba,hapo Waziri alisema pesa yaajengo 3 imetoka na ndani ya mwezi mmja toka kupokea pesa wawe tayari wameanza kujenga.
 
Umesahau ndo Rais aliyekopa zaidi na kuongeza deni la Taifa kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko Rais yeyote kwenye historia ya Tanzania

JPM alikopa mpaka akafika kikomo cha kukopa ndio mzigo aliotuachia 71 trillion za made no.

Mbona huyu anakopa na bado unakamuliwa hata wewe kajamba nani?

Au hujasikia kama zimekopwa tililioni 2 huko?

Kikomo cha kukopa?

Ile tililioni 2 ambayo mama kakopa juzi ulimkopesha wewe
Mama yenu hata miezi sita haijaisha ameshakopa zaidi ya Trillion 2.
 
Mama yenu hata miezi sita haijaisha ameshakopa zaidi ya Trillion 2.
Una habari mwezi wa 1 magufuli alikopa zaidi ya trillion moja kutoka china na akasaini mkataba akiwa chato kwa ajili ya ujenzi wa reli ya Mwanza isaka
 
Sisi wananchi lazima tuchangie maendeleo ya nchi yetu- hivyo tutachoka lini kusimangwa na wazungu na wachina kila wakitupatia misaada. Kutokana na mahela yaliyokusanywa ni wazi kwamba kuna watu wanauwezo wa kulipa hizo tozo . Pesa iliyokusanywa kwa miezi miwili - billioni 60 si mchezo, huku wananchi wakilalamika kuwa hawana uwezo . Kuna pesa nyingi inayo pita kwenye miamala ya simu- kuna biashara kubwa sana mtandaoni, Serikali ilikuwa haipati kitu! Hongera kwa serikali ya Mama kugundua chanzo kipya cha mapato. Awamu ya tano -ilijitahidi kiasi chake - lakini iliacha madeni makubwa kwa wazabuni waliofanya kazi na serikali, wafanya biashara walifunga maduka yao wakilalamikia TRA. Hiki chanzo kipya kitasaidia kujenga nchi hii kikitumika vizuri. Wezi wa wapesa za wananchi wapigwe miaka 30 jela, tuone kama mtu ataziiba.
 
Jikite kwenye mada? Mbona hayati JPM alijenga bila kukamua wananchi kupitia tozo za miamala ya simu kama ishu ni kujenga vituo vya afya.
 



Alitumia presamtive tax assessment, Unadai kodi hadi ya wakakti wa Mkapa, Unataka irudi hiyo?

My friend tozo ni bora kuliko thuluma,
 
Kweli kabisa mzee. Nakuunga mkono
 
Tunachangia kwa kodi na sio kwa tozo hizi. Nenda Kenya uone kama kuna tozo mshenzi hizi
 
Serikali haiwezi kuacha kukopa ila ndio maana wanajitahidi kutumia tozo kugharamia baadhi ya miradi bila kukopa ,ukitegemea kukopa tuu hufiki .

Umeambiwa mwakani kuna watoto zaidi ya 900k wanatakiwa kuanza shule unadhani pesa zinatoka wapi ?
Sasa msimlaumu Magufuli kwa kukopa.
 
Wanajenga majengo yasiyokuwa na maana,

Kuna majengo mengi(shule za kata)hakuna elimu yeyote wanazalisha uozo.

Kuna majengo mengi ya afya hakuna uduma bora,hakuna madawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…