Mbona Heche kama ana undergo healthy deterioration au ni ugeni wa siasa? Naona Kama hayupo sawa

Wanaendesha slogan ambazo hazipimiki wanaishiwa kupata stress tu.
Huku watu wanahama chadema
Huku watu wanachukua form za kugombea uongozi
Huku no reform no election -hii slogan wanajidanganya
Hapo lazima viongozi wa chadema stress ziwakabe koo
 
Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Itakuwa hamjamuona Samia
 
Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
WEWE NI DAKTARI WAKE au MKE WAKE HADI UFIKIE KUSEMA HICHI UNACHOSEMAA ,UMBEA ZA KORIDO HATUTAKII HAPA KAMA HUNA USHAIDI

Naa nikukumbushe huyu anaitwa Mhe: John Heche sio majina yakoo ya ajabu
 
Ni ushauri wangu tu kama vipi moderator afute huu Uzi.
 
Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Inawezekana ikawa kweli au si kweli. Ebu tuwekee tupicha twake twa kabla na baada tuone wenyewe utofauti huo
 
Back
Top Bottom