Mbona Heche kama ana undergo healthy deterioration au ni ugeni wa siasa? Naona Kama hayupo sawa

Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
🤣🤣🤣🤣🤣, Samahani wanajamvi kwa kelele, ni vile tu hiyo sentensi ya kwanza imenichekesha sana.

Nikirudi kwenye mada; mtoa mada, unataka afya itoke wapi sehemu ambayo tone tone IMEBUMA?!!!! Umeuliza kweli au tunayataka matusi tu ya nyumbu?!!!
 
Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
tunahitaji kumwombea, ana kautoto fulani, kaulimbukeni fulani na wakati mwingine unaweza usimwelewe kama ni kiongozi wa watu wengi sana. ila yafaa asaidiwe.
 
Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
We unaongoza kwenye nini mkuu?Tupime uongozi wako na wa Heche.
 
Uongozi si kulima shamba uongozi ni kupanga,
kuratibu,
kusimamia,
kuongoza,
Staffing
Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Anapambania watanzania
 
Wanaendesha slogan ambazo hazipimiki wanaishiwa kupata stress tu.
Huku watu wanahama chadema
Huku watu wanachukua form za kugombea uongozi
Huku no reform no election -hii slogan wanajidanganya
Hapo lazima viongozi wa chadema stress ziwakabe koo
OLE WAKE MWANANCHI NATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE WALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION

TUSILAUMIANE BAADAYE
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Moderators kuacha nyuzi kama huu ni matumizi mabaya ya Jukwaa.
 
Wanaendesha slogan ambazo hazipimiki wanaishiwa kupata stress tu.
Huku watu wanahama chadema
Huku watu wanachukua form za kugombea uongozi
Huku no reform no election -hii slogan wanajidanganya
Hapo lazima viongozi wa chadema stress ziwakabe koo
Mwanaume akiamua kazi lzm akubali kupita njia ngumu,,,nyinyi wanawake hamuwezi kujua hili.
 
"Wataalamu wa saikolojia ni wagonjwa wa saikolojia", alisikika mlevi mmoja anasema. Ubinadamu ni kazi
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Heche ni mgeni wa siasa? 😀 😀 😀
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Upumbavu ni kuona heche hayupo sawa hawezi uongozi ila Samia ndio yupo sawa,watu dizaini hii ndio wanafanya watu wasijivunie utanzania
 
Back
Top Bottom