Mbona Heche kama ana undergo healthy deterioration au ni ugeni wa siasa? Naona Kama hayupo sawa

Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Hata hivyo mwamba heche kasimama imara na chama baada ya Lisu kukamatwa jamaa tumtie Moyo ingekuwa wewe ulishatusaliti Kwa kijani, cyo Jambo rahisi MTU unawindwa na CCM muda wote pamoja na vyombo vya dola + g55 halafu unawiri cyo rahisi
 
Heche yupo vizuri kwani haya manyanyaso mateso uonevu uovu na vitendo haramu vya ccm kwa chadema ni hatari sana, kama asingekuwa imara mda huu Mbowe angekuwa kawamaliza kwa kushirikiana na ibirisi wa ccm
 
Wewe mbona huko nyuma haupo kama ulivokuwaga!
Mwanaume kumuwaz mwanaume mwingine ni dalili za Diara kutoka golini.
 
Mbowe anawafanyia kila fitna anawapora wanachama anawauza kwa Amos makala ambaye huwasokomeza chauma ubwabwa biashara haramu ya kishetani, Mbowe na ibirisi wa ccm saa 24 kila siku wanawaza jinsi ya kuifuta chadema na Heche yupo imara kuwakabili mda wote
 
Hata hivyo mwamba heche kasimama imara na chama baada ya Lisu kukamatwa jamaa tumtie Moyo ingekuwa wewe ulishatusaliti Kwa kijani, cyo Jambo rahisi MTU unawindwa na CCM muda wote pamoja na vyombo vya dola + g55 halafu unawiri cyo rahisi
ibirisi wa ccm baada ya kushindwa vyote sasa wanahamia kwenye sumu
 
Nilijua mlata mada kaandika cha maana kumbe kaandika ushuzi wa kiporo cha maharage.
Mods please futeni hizi takataka aisee.
 
Mods wanapokea Amri zako kumbe? Mada za uonevu mateso manyanyaso ya ibirisi ccm mbona huwapi Amri wafute?
 
Sasa hivi kweli kwa hali wanazopitia wanasiasa wa upinzani, watakuwa na furaha kweli! Mshika usukani mwenyewe hali si hali ndio maana kila wakati anatoa boko.
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Nguvu bila akili na mbinu si sawa
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Vp mbona mnahangaika sana!?
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Lissu hajawahi kuwa kiongozi mkuu na kwa kweli ameprove hawezi achilia mbali huo urais anaoutamani. Lissu ni mwanaharakati siyo kiongozi. Kiongozi mkuu ana sifa maalum siyo uanaharakati kufurahisha genge flani.
 
Pila picha au video saikolojia ya makisio inakudanganya! Muhimu zingatia mitano tenaaaaaa kwa kishindo kikubwa!
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
"Healthy deterioration", jamani tutumie kiswahili tu.
Huwezi kuwa both healthy na bado uka deteriorate.
 
Back
Top Bottom