Ana stress sanaUongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Hawawezi kufuta pro thread.Thread Kama haipo sawa moderater IFUTWE !
wale ngombe wa maziwa naona wanampa mawazo tu, hawanenepiUongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.