Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Weka picha tuone alivyo choka mbaya.Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.