900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Hata hivyo mwamba heche kasimama imara na chama baada ya Lisu kukamatwa jamaa tumtie Moyo ingekuwa wewe ulishatusaliti Kwa kijani, cyo Jambo rahisi MTU unawindwa na CCM muda wote pamoja na vyombo vya dola + g55 halafu unawiri cyo rahisiUongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Heche yupo vizuri kwani haya manyanyaso mateso uonevu uovu na vitendo haramu vya ccm kwa chadema ni hatari sana, kama asingekuwa imara mda huu Mbowe angekuwa kawamaliza kwa kushirikiana na ibirisi wa ccmUongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
ibirisi wa ccm baada ya kushindwa vyote sasa wanahamia kwenye sumuHata hivyo mwamba heche kasimama imara na chama baada ya Lisu kukamatwa jamaa tumtie Moyo ingekuwa wewe ulishatusaliti Kwa kijani, cyo Jambo rahisi MTU unawindwa na CCM muda wote pamoja na vyombo vya dola + g55 halafu unawiri cyo rahisi
Usikute mzee wa Tindikali kule chauma anaitwa Kileo kijana wa mbowe kaandaa sumu ya kumpotezaHapana uzi ubaki ili tuendelee kukushangaa we unaeijua afya ya heche.
Kileo katumwa na mbowe amwekee sumu?Kakata moto tayari, kufanya siasa za upinzani kwa Tanzania si lelemama
Mods wanapokea Amri zako kumbe? Mada za uonevu mateso manyanyaso ya ibirisi ccm mbona huwapi Amri wafute?Nilijua mlata mada kaandika cha maana kumbe kaandika ushuzi wa kiporo cha maharage.
Mods please futeni hizi takataka aisee.
Majaliwa anaenda kupindua meza mkoloni kaburu toka Zanzibar watamwengua mbio za UraisHeri wanao lia sasa, maana watacheka. Ole wanaocheka sasa maana watalia.
Wewe ni funza endelea kuwa funza.Mods wanapokea Amri zako kumbe? Mada za uonevu mateso manyanyaso ya ibirisi ccm mbona huwapi Amri wafute?
Nguvu bila akili na mbinu si sawaUongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Vp mbona mnahangaika sana!?Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Lissu hajawahi kuwa kiongozi mkuu na kwa kweli ameprove hawezi achilia mbali huo urais anaoutamani. Lissu ni mwanaharakati siyo kiongozi. Kiongozi mkuu ana sifa maalum siyo uanaharakati kufurahisha genge flani.Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
"Healthy deterioration", jamani tutumie kiswahili tu.Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.