Weka picha tuone alivyo choka mbaya.Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Heche bado ana mihemko.Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
iD yako ni ya kibwege lakini hapa JF wenye Akili Timanu huwa hawaigusi ID ya mtu hukomaa na hoja na mada, uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho endelea kuvuta Bangi huko walipokupakata hadi kujitoa fahamu zoteWewe ni funza endelea kuwa funza.
Tungekuwa wewe ndio yeye unadhani ungekuwa na hali gani!?Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Yaani nikimaa Isha ungekuwa na hali gani!?Ingekuwa na Hali gani nn
NakubaliiD yako ni ya kibwege lakini hapa JF wenye Akili Timanu huwa hawaigusi ID ya mtu hukomaa na hoja na mada, uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho endelea kuvuta Bangi huko walipokupakata hadi kujitoa fahamu zote
Heche nadhani Hana uzoefu wa uongozi especially large scale leadership ndo maana anapanic muda wote yupo Kama ana stress.Yaani nikimaa Isha ungekuwa na hali gani!?
Sasa hii nayo tuiite ni "Mada"?Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
ALAAAA, Kumbe!Heche nadhani Hana uzoefu wa uongozi especially large scale leadership ndo maana anapanic muda wote yupo Kama ana stress.
Tatizo la Heche anajipa majukum yote mwenyewe ndo maana watu wanamkimbia wanahama chama.
Essay writing competitionSasa hii nayo tuiite ni "Mada"?
Haya maneno yanahusiana vii na kichwa cha mada husika?
Na kama huelewi unachowasilisha "Kulima shamba" kunahitaji hayo yote uliyo yaorodhesha. Kama hujui, ndiyo maana "kilimo" chako hakina mafanikio yoyote!
Sasa tueleze lakini, umejuaje kuwa Heche hayafanyi hayo unayohimiza ayafanye?
Tatizo ni kukosa UPEO kwako, siyo kukosa "uongozi" kwa Heche..
Wewe ndiye unajuwa ayo.Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
Jua litakapo zama, zama nalo moja kwa moja usirudi tena, kwa sababu inaonyesha fikra zako ni za kipuuzi kabisa. Wewe inaonekana hata vichwa vya furu hukuvitafuna kabisa!Kakata moto tayari, kufanya siasa za upinzani kwa Tanzania si lelemama
Yaani umejionyesha wazi ulivyo chini kabisa ya kila aina ya kiwango; halafu watu wa aina yako ndio sasa mnashikilia vyeo muhimu serikalini, na uwezo mbovu kama huu uliouonyesha hapa!Essay writing competition
Hivi umepima 'stress' aliyo nayo Samia Suluhu Hassan na GENGE lake hivi karibuni?Wanaendesha slogan ambazo hazipimiki wanaishiwa kupata stress tu.
Huku watu wanahama chadema
Huku watu wanachukua form za kugombea uongozi
Huku no reform no election -hii slogan wanajidanganya
Hapo lazima viongozi wa chadema stress ziwakabe koo
Sasa unanifanya nikusikitikie na kujisikitikia mimi mwenyewe, mTanzania mwenzangu. Mimi naomba sote tuanzie hapo kwenye hii Tanzania yetu inayo tuunganisha pamoja; kabla ya kurukiana kushikana makoo kutafuta kuondoana roho kwa sababu tu ya kutetea maslahi ya upande wowote. Tuime ni kii kinacho tuunganisha karibu zaidi baina yetu, katika kuigania maslahi ya taifa letu.Sawa bwana kalamu