Mbona Heche kama ana undergo healthy deterioration au ni ugeni wa siasa? Naona Kama hayupo sawa

Akiongea mdomo unaenda upande, nadhani alipigwa stroke hivi karibuni
 
Uongozi si kulima shamba; uongozi ni kupanga, kuratibu, kusimamia,
kuongoza, Staffing. Ukikosea kimoja Kati ya hayo hapo juu unapigwa na stress kipindi chako chote Cha uongozi wako.
wale ngombe wa maziwa naona wanampa mawazo tu, hawanenepi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…