Mangi Muitori
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 638
- 411
Jerry ilijulikana ni jambo la muda duh, Ngoma ivumayo, wacha akakae kwenye minaraNimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Lukuvi anafaa.Bora wamrudishe Mzee Lukuvi kuliko huyo punguwani Msigwa
Utakua tapeli wa viwanja sio bureJerry hakupaswa hata kubaki kwenye Baraza la mawaziri.
Matapeli wanamchukia Slaa balaa na madarali uchwara..Utakua tapeli wa viwanja sio bure
Wanaangalia maslahi yao hao,slaa kafanya kazi nzuri sana alipokua ardhi,kikubwa huko mawasiliano akaendeleze moto ule uleMatapeli wanamchukia Slaa balaa na madarali uchwara..
Mkuu wewe ni mjinga huelewi kwa namna Gani taratibu za kisheria zinatakiwa kuwa siyo mtu anatukana wananchi kisa waziri, hii ni civil state siyo military junta.Utakua tapeli wa viwanja sio bure
Kinachopaswa kuhakikishwa ni mahakama itende haki, rushwa ipungue huko mahakamani yani mifumo ifanye kazi sio kumtegemea waziri ndiye awe mahakama, kuna kufa, kuna kupigwa chini na mambo yanarudi kama yalivyo. Tutengeneze mifumo imara sio mtu mmoja mmoja ndiye abebe jukumu la kitaasisi.Sema Rais kafanya kosa la kiufundi kumtoa Slaa ardhi
Tena na hapo habari akiendeleza ujinga wake ataondoka.Jerry Yuko vzr sana
Hajafanya jambo lolote zuri huyo Silaa, alikuwa mungu mtu. Anatukana wananchi kwenye mkutano wa hazara hiyo haifai hata kidogo.Kinachopaswa kuhakikishwa ni mahakama itende haki, rushwa ipungue huko mahakamani yani mifumo ifanye kazi sio kumtegemea waziri ndiye awe mahakama, kuna kufa, kuna kupigwa chini na mambo yanarudi kama yalivyo. Tutengeneze mifumo imara sio mtu mmoja mmoja ndiye abebe jukumu la kitaasisi.
Ile kutia tia watu ndani hata kwa mambo ambayo yanahitaji common sense. Last week alimweka jamaa ndani kimakosa, jamaa alikuwa anataka kumfafanulia masuala fulani ya ardhi. Mwakani tunamsubiri Ukonga jimboni tupite nae. Hatoboi.Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Nidhamu ya uwogaogopa pozi kama ili
iView attachment 3048454
Mkuu huyo siyo wa kuacha mpite naye mazima. Wakikua wanakuja kuwa kama jiwe.Ile kutia tia watu ndani hata kwa mambo ambayo yanahitaji common sense. Last week alimweka jamaa ndani kimakosa, jamaa alikuwa anataka kumfafanulia masuala fulani ya ardhi. Mwakani tunamsubiri Ukonga jimboni tupite nae. Hatoboi.
Hao vibaka wawili wametenguliwa lakini Jerry amehamishiwa tu wizaraNimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Sana tu. Bila goli la mkono kunako 2020 alishakosa ubunge. Jimbo lake la Ukonga ndilo jimbo lenye miundombinu mibovu kwa mkoa mzima wa Dar, imagine ni wilaya yenye jiji (Ilala) lakini barabara ni mbovu hakuna mfano. Yuko busy na masuala ya ardhi kasahau jimbo.Mkuu huyo siyo wa kuacha mpite naye mazima. Wakikua wanakuja kuwa kama jiwe.
Msigwa ni mbunge?Uko sahihi, alikuwa anafanya kazi njzuri pamoja na mapungufu ya kuwaweka watu ndani... Polisi weka ndani huyo...hii ilikuwa kasoro kubwa, lakini ilikuwa inarekebishika.
Nadhani Msigwa atapewa huko ili awafurushe wamasai Ngorogoro
Hajaibomoa Ile Sheli yako uliyoijenga kwenye makazi ya Watu ?Jery slaa alitakiwa na yeye atenguliwe .
Ni mtu mpuudhi na
Tujifunze kutokutegemea mtu bali mifumo. Kama mahakama zitakuwa hazitendi haki inabidi mfumo wa mahakama ufumuliwe maana mtu akiondoka kama waziri matatizo yanarudi pale pale. Viongozi badala ya kujenga mifumo wao wananijenga wao wafaidike kisiasa na raia wanashangilia.