Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

Shida ni kwamba wanawake wakivaa nguo zinazowabana au nguo fupi ndio tunaona wanapendeza kwasababu maungo yao yanaonekana. Kwa haya mavazi unayosema yanapwaya nadhani ni mavazi ya kiheshima zaidi kuliko kujizalilisha na nguo fupi na za kubana.
 
images (10).jpeg
labda amejifunz kwa supreme lida
 
Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.

Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?

Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
[emoji38][emoji38][emoji38] Heri mimi sijasema .
 
Mi
Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.

Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?

Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Mimba! Au ni mama yupi kwanza mnamsemea
 
Back
Top Bottom