Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

Mbona kama dera ni oversize? Wanaohusika wako makini?

Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.

Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?

Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Duh,mpaka mavazi ya mtu,alivyovyaa,mambo ya kike haya.
 
Back
Top Bottom