Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Show room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.

Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo
Miezi miwili mingi hivyo, nunua leo kwa 22m alafu itangaze baada ya siku 5. Nakwambia hiyo 18m utaitafuta kwa torch kupata mteja
 
Juke iko vizuri japo haijafanya vizuri sana sokoni hasa Africa kutokana na shape yake mbaya.

But hizi dualis zmeshaungua mno unashangaa uko tu foleni gari imedaka moto yenyewe tu

Au umetoka kutoa gari yako yard baada ya week inaanza shida ya gear box
Juke iko juu kwa sasa hasa Zanzibar vimejaa kwa wingi sana, lakini mimi siyo muumini sana wa Nissan huwa nina wasiwasi nazo.
 
Juke iko vizuri japo haijafanya vizuri sana sokoni hasa Africa kutokana na shape yake mbaya.

But hizi dualis zmeshaungua mno unashangaa uko tu foleni gari imedaka moto yenyewe tu

Au umetoka kutoa gari yako yard baada ya week inaanza shida ya gear box
Umeionea Juke haina shepu mbaya ila hazishuki bei zipo juu mno,sasa shep ya Juke ndio utafananisha na Dualis au Subaru forester???
 
Show room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.

Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo
Akili za kitoyota
 
Back
Top Bottom