Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

Naona watu wengi wanmezungumzia suala la Nissan dualis kuungua...
Binafsi nimeona video kadhaa mtandaoni hizi gari zikiungua, na zote nilizoona ni hapa hapa Tz.

Nimefuatilia mitandaoni kujua shida ni nini,
Lakini miongoni mwa "common issues" za hii Nissan, suala la kuungua halipo huko kwa wenzetu..

Issue ya hizi gari kuungua inaonekana ni Common hapa Tanzania...WHY?
Sisi mainjinia wa Kitanzania ndiyo tunazikosea hizi gari..
Hizi gari zina wiring system ambayo ni Delicate sana..au Senstive sana..
Wiring ya hii gari haitaki Modification zisizozingatia utaalamu wa haki ya juu na vifaa vyenye ubora..

Sisi tukishaagiza Dualis, inapelekwa kwa Injinia wa Kitanzania aliyefeli darasa la 4, anakufungia Android radio, fog lamps na mataa taa ya kichina...hawa minjia wetu wanachukua umeme sehemu yoyote wanpoona waya una umeme pasipo kujua huu umeme unaemda wapi na una uwezo kiasi gani, na huko huo umeme ulipotoka umetoka kweny kifaa gani..HILI NI TATIZO..

Mfumo wa umeme wa magari mengi ya Nissan ni tofauti sana na Toyota..Kwenye nissan nyingi kuna kifaa maalumu ya kufanya Monitoring ya mtiririko wa umeme kwa kila sakiti...hapa fundi maiko lazima akuchomee hii gari, penda usipende...

Kuna Nissan Quashqai ambayo ni sawa na Dualis, ni namba A naifahamu na bado inadunda barabarani...

Ukiwa na dualis, ukitaka kufanya modifications za umeme, angalia fundi unayemtumia...tofauti na hapo iache kama ilivyokuja..

Jiulize kwa nini haziungui zikiwa huko Japan,China,Dubai, Hongkong, bali zikifika tu Tanzani ndiyo zinakuwa ni Mbovu na kuaanza kuungua...TATIZO NI SISI.

Kwa mazingira ya Bongo, siwezi kumshauri mtu anunue hili gari, kwa sababu mafundi wa Vitz watalichokonoa, na utalia.

Nawasilisha
 
......mkuu upo sahihi kabisa asilimia kubwa ya malalamiko ya hitilafiu za magari huwa inakuwa ni Tanzania, Sasa unajiuliza hizi gari huko zimetumika zaidi ya kilometers laki moja, lakini likija bongo hata km 5000 hazifiki tayari gia box shida then gari inaungua, nadhani changamoto kubwa ni kutaka kuyatreat magari ya brand zingine kwa style ya toyota, na hata hizi toyota mifumo ya umeme inaenda ikibadilika kuendana na technology mpya, hivyo sio muda mrefu pia nayo yataanza kutushinda......
 
Show room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.

Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo

Shida hizi nchi zetu za joto matatizo ya overheating huongezeka. Akitumia recommended transimission fluid na kuhakikisha iko level kila wakati itasaidia kupunguza overheating na shida nyingine za transmission. Vinginevyo balaa litakufika mapema zaidi.
Wengine hubadili na kuweka aftermarket transmission coolers ambazo husaidia transmission kutopata moto haraka hasa nchi hizi zenye joto. Nilisikia mahali, nadhani ni Kenya mtu alifanya hii.
 
Nadhani kuna mahali walifeli, mbona hyo changamoto sijawahi isikia hata kwa magari ya mzungu? Dualis ukienda nayo safari ndefu inafika mahali unapitwa hata na ist
 
Show room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.

Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo
duh...asante mkuu. nimekuwa ninaitilia mashaka sana. huwa ninaiona kama gari ya mjini tu, safari fupifupi
 
Kwa muonekano huwa inavutia sna kusema kweli, ila hyo geaarbox sasa, ila nasikia matoleo ya miaka ya karibuni walirekbisha hii shida
 
Nadhani kuna mahali walifeli, mbona hyo changamoto sijawahi isikia hata kwa magari ya mzungu? Dualis ukienda nayo safari ndefu inafika mahali unapitwa hata na ist

Siyo magari ya mzungu tu hata wajapan wenzie hawana hiyo issue. So yea, ni mahala walifeli kama ambavyo BMW waliwahi kufeli kwenye mambo kadhaa kwenye engine zao
 
Sikutaka kutaja toyota kwa sababu kuna watu wanahisi tunaisema vibaya kwasababu tunapenda toyota
 
Back
Top Bottom