Mbona kama sielewi wakuu?

Mbona kama sielewi wakuu?

Hiyo pesa iweke tuu au iweke UTT maana kwa uzoefu wangu ukiingiza kwenye biashara inapotea shwaaa fanya kuiweka huku unaijazia usubiri umalize chuo pengine utakuwa na 10 mil ndo urudi hapa kuomba ushauri.

Kama unaona ukiweka hiyo hela utaila basi lete nikutunzie 😁
Duuu hela usije shauriwa kuiweka maaana shida ni nyingi sana ifanye izunguke
 
Nishaona kumbe watanzania wengi mnamchango mdogo sana kwenye taifa letu.
Mimi nimepata 4.5M kutokana na biashara nilo ianzisha kwa 350k tarehe 1/12/2024 lakini nyie mnaona ni ndogo 😂 sawa .
Na nipo chuo hapo na bado najisomesha na pia nipo na mdogo wangu yupo Mzumbe namsomesha .
Ipo hivi akili ya biashara ni bora kuliko mtaji
Sasa kumbe unafanya biashara, embu nyoosha maelezo bhana, yani uombe ushauri kwa maelezo nusu nusu afu uje kutuchamba embu kuwa na adabu na wa tanzania 🇹🇿
 
Nishaona kumbe watanzania wengi mnamchango mdogo sana kwenye taifa letu.
Mimi nimepata 4.5M kutokana na biashara nilo ianzisha kwa 350k tarehe 1/12/2024 lakini nyie mnaona ni ndogo 😂 sawa .
Na nipo chuo hapo na bado najisomesha na pia nipo na mdogo wangu yupo Mzumbe namsomesha .
Ipo hivi akili ya biashara ni bora kuliko mtaji
Wewe ni Muongo tena mnafki mkubwa.
 
Nenda tawi lolote la bank lililo karibu na wewe Kisha fungua account ya akiba, weka hiyo pesa alaf Rudi chuo soma Kwa bidii huku ukiendelea kutafta biashara ya kufanya. #USIKURUPUKE.
BIG UP sana wewe ni mtu wangu wa nguvu .
Sema mi nipo na mradi ndo unaonipa hiyo fedha mtu wangu so.Nimependa ulivyo nyoosha 🙌👊
 
4.5 M ni pesa ya kawaida sana. Usiwaze mambo makubwa. Biashara zitakazokutoa zaidi kwa pesa hiyo ni zile ambazo wewe mwenyewe utashiriki moja kwa moja e.g ununue na uendeshe bodaboda, Ufanye biashara ya kuuza chakula, Udobi, Ununue underwear kwa jumla uuze rejareja, Biashara ya vinywaji hasa vinywaji baridi (soda, juisi, maji n.k) kama una sehemu iliyochangamka....n.k. nk.
KILA RAHELI
4.5mil tsh ni pesa ya kawaida kibongo bongo? Sichelei kusema wewe ni familia ya mafisadi
 
Back
Top Bottom