Mbona kama sielewi wakuu?

Duuu hela usije shauriwa kuiweka maaana shida ni nyingi sana ifanye izunguke
 
Sasa kumbe unafanya biashara, embu nyoosha maelezo bhana, yani uombe ushauri kwa maelezo nusu nusu afu uje kutuchamba embu kuwa na adabu na wa tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Wewe ni Muongo tena mnafki mkubwa.
 
Nenda tawi lolote la bank lililo karibu na wewe Kisha fungua account ya akiba, weka hiyo pesa alaf Rudi chuo soma Kwa bidii huku ukiendelea kutafta biashara ya kufanya. #USIKURUPUKE.
BIG UP sana wewe ni mtu wangu wa nguvu .
Sema mi nipo na mradi ndo unaonipa hiyo fedha mtu wangu so.Nimependa ulivyo nyoosha πŸ™ŒπŸ‘Š
 
4.5mil tsh ni pesa ya kawaida kibongo bongo? Sichelei kusema wewe ni familia ya mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…