Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mba roho ya kikatili haija mkaa🤔Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann
Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu
Hata hotuba zake anacheka tu
Akipiga picha ni kicheko
Akifanya hivi ni kicheko
Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii
Kitu ni nn aseee 🤔
Hili ndio jibu,watanzania tunachekesha tunaacha kujadili vitu. Tunajadili smile la JkSababu nchi yenyewe kila wakati inachekesha
Inatufunza kuacha roho mbaya na ukatili,ishi vyema,cheka na wote,haki kwa wote na usawa🤔Hii hoja yako inatuongezea nn ktk uchumi wetu?
Hii ni hulka na haiba ya mtu tu. Huwezi kumfananisha na kiongozi kama Pinda na Wasira,.
Kucheka ni Afya ila Ukicheka sana na kila wakati / mara ni Dalili tosha ya Mental Case bila kujali Wewe ni Tajiri kama Walivyo au Masikini kama GENTAMYCINE.Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann
Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu
Hata hotuba zake anacheka tu
Akipiga picha ni kicheko
Akifanya hivi ni kicheko
Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii
Kitu ni nn aseee 🤔