Mbona Kikwete anacheka kila wakati 🤔

Mbona Kikwete anacheka kila wakati 🤔

Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann

Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu

Hata hotuba zake anacheka tu

Akipiga picha ni kicheko

Akifanya hivi ni kicheko

Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii

Kitu ni nn aseee 🤔
Jamii forum imevamiwa! Sasa hapa tunajadili kitu gani?
 
Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann

Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu

Hata hotuba zake anacheka tu

Akipiga picha ni kicheko

Akifanya hivi ni kicheko

Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii

Kitu ni nn aseee 🤔
Omba Mungu uweze kuwa na tabasamu kila wakati kama Kikwete.
 
Back
Top Bottom