SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Jamii forum imevamiwa! Sasa hapa tunajadili kitu gani?Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann
Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu
Hata hotuba zake anacheka tu
Akipiga picha ni kicheko
Akifanya hivi ni kicheko
Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii
Kitu ni nn aseee 🤔
Omba Mungu uweze kuwa na tabasamu kila wakati kama Kikwete.Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann
Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu
Hata hotuba zake anacheka tu
Akipiga picha ni kicheko
Akifanya hivi ni kicheko
Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii
Kitu ni nn aseee 🤔
Au Paul KagameHii ni hulka na haiba ya mtu tu. Huwezi kumfananisha na kiongozi kama Pinda na Wasira,.
Naweza kumfananisha na Uhuru Kenyata.Au Paul Kagame
Mimi sjajua kwanini uwa namchukia huyu mzee wa watu?
Mzeee umetisha kwa jibu swafiiii....hiii nchi ukifanikiwa kuwa kiongozi alafu ukafanikiwa kuwa kwenye haya majukwaa ukafanikiwa kuwaona vijana wa humu walivyo na uchungu wa maisha,yaani wanaishia kulalama tu na kutoa matusi kwa viongozi utaishia kucheka tu.Sababu nchi yenyewe kila wakati inachekesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ataacha kucheka ? asa ana shida gani [emoji23][emoji23] mia mbili anayo
kununa katuachia sisi uswekeni huku
Kwa kweli.We unaona ana akili timamu/mzima huyo? Mimi huwa namuangaliaaaa najisemea moyoni tu huyu ni clone