Mbona kumpata mwanamke wa kumtongoza kwangu imekuwa ngumu?

jitahd kuwa na free spirit usijiwekee mipaka. wanawake wapo kila mahali. sehemu za ibada wapo kwenye za burdani hauwezi kuwakosa, makazini pia unawakuta, apo kitaani kwako lazma watakuwepo, mabarabarani humu ndo usiseme. na wao wanatafuta watu kama wewe. wewe weka tu vigezo vyako tu na ujue unachokitaka.

ukishindwa kabisa jitafute uwe na ela ya kutosha ao wadudu kwa ela hawachomoi kamwe watakuja wenyewe adi uwachoke
 
Hahaha
 
Sky Eclat mshauri kijana au mtaftie binti wa Tanga
 
Huyo demu uliyeachana naye atakuwa amekuroga usiwaone wanawake ili umrudie, haiwezekani wanawake wooote hawa ambao hawana watu hadi wanatutongoza sisis wanaume wewe usiwaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…