Mbona kumpata mwanamke wa kumtongoza kwangu imekuwa ngumu?

Madem wote wa Mbagala na bado unasumbuliwa na oneitis? Wakati huohuo unasema wewe ni mtongozaji!
Hebu eleza vizuri una shida gani nyingine usaidike.
Suala sio mademu wengi mbagala, ishu ni ku-meet right girl at right place mfano unaweza kuona wanawake wawili tofauti ila maeneo sio rafiki yaani unapita unaona tule nimemuelewa ndio anazama nyumbani kwao, yule anapita njiani uezi ukaanza Hey Hey balabalani.

'Right women at Right place' hiki kitu ndio kinaweza kukufanya usipate mwanamke hata miezi miwili Once mahusiano hayako Formal ni kuvizia na kuonana kwa bahati mbaya.
 
acha kutafuta wanawake hao watakusumbua akili, tafuta madem au mwenzetu haupo Daslam.!!?

najua sio sifa nzuri wala mbaya ila ni utaratibu nmejiwekea kila siku lazima nitongoze wasichana wapya zaidi ya wawili kutokana na kila napopita nakutana nao kwa wingi af kila nikiwatizama naona kama wananiita
 
Suala sio mademu wengi mbagala, ishu ni ku-meet right girl at right place mfano unaweza kuona wanawake wawili tofauti ila maeneo sio rafiki yaani unapita unaona tule nimemuelewa ndio anazama nyumbani kwao, yule anapita njiani uezi ukaanza Hey Hey balabalani.

'Right women at Right place' hiki kitu ndio kinaweza kukufanya usipate mwanamke hata miezi miwili Once mahusiano hayako Formal ni kuvizia na kuonana kwa bahati mbaya.
Unahisi wanaume wenzako wote wanakutana na 'right women at right place'?
 
Back
Top Bottom