Mbona kuoa wake wengi kama hoja kuu ni ulafi wa ngono tu?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam wana JF

Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.

Kuna haja wanawake wajikomboe kwenye hili vinginevyo haijakaa vizuri.

Nimewaza radha ya mbususu na mnyanduano nimestaajabu akili kubwa za wazee wa kale.

Wadau wa jukwaa tusaidieni dhana ya kuoa wake wengi kama msingi wake sio starehe ya ngono kwa wanaume ni nini?

Sex=energy
Energy=food
Food = money

Wadiz
 
Bro wadiz kwenye uzi wa mshana wa kaoneka umeupiga mwingi ki great thinker uhakika..hata kwa hili nakuunga mkono ni tamaa tu za wanaume za ngono kwa dunia ya sasa ila kwa zamani ilibidi iwe hivyo na ilisaidia kukuza familia kwa mfano me babu yangu mzaa bibi yangu alikuwa na wake watatu leo hii wajukuu zake wote babu mkubwa tunashirikiana koo tatu tofauti..msiba wetu sherehe yetu ..shida siku hizi upendo umepoa sana
 
Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
 
Koo tatu kwa babu mmoja?
 
Wasalaam wana JF

Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.

Kuna haja wanawake wajikomboe kwenye hili vinginevyo haijakaa vizuri.

Nimewaza radha ya mbususu na mnyanduano nimestaajabu akili kubwa za wazee wa kale.

Wadau wa jukwaa tusaidieni dhana ya kuoa wake wengi kama msingi wake sio starehe ya ngono kwa wanaume ni nini?

Sex=energy
Energy=food
Food = money

Wadiz
This is fallacy of Generalization. Hoja yako imekosa mashiko kwa kutumia nyanja moja kufanya hitimisho. Kwahiyo inaitwa hoja yenye upuuzi jumuishi.
 
Acha ulafi na ubinafsi.

Kama una uwezo ongeza mke. Utapunguza maasi mitaani. Nenda club ufanye tathmini wa wale kina Dada VP wangekuwa kwa waume zao. Je umgemkuta pale, angeruhusiwa kujigeuza kuwa bidhaa?!?
 
Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?

Swali la msingi je ao wanawake wapo teyal wenzao wapate nafasi japo ya kuwa wake wa pili.

na vipi mke wa pili anafurahi kuona yeye kuwa wa pili vipi haitaki nafasi ya kuwa wa kwanza.

usipokuwa makini utakufa kijinga sana
 
Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Wanaume ni wengi kuliko wanawake duniani. Hata nchi kama Afghanistan wanaume ni wengi.
 
Acha ulafi na ubinafsi.

Kama una uwezo ongeza mke. Utapunguza maasi mitaani. Nenda club ufanye tathmini wa wale kina Dada VP wangekuwa kwa waume zao. Je umgemkuta pale, angeruhusiwa kujigeuza kuwa bidhaa?!?
Wale wa klabu hawataki ndoa, ni maisha yao yale wamechagua.
 
Hata wew unaeamin ktk mke mmoja bado utakuta unanyandua nje ya ndoa...the so called tamaa ya ngono ipo kwa kila mwanaume rijali aliekamilika,ila kuoa wake weng au mmoja ni maamuz ya mtu na haikupi hakikisho la kutotamani tena!
 
Sensa inasema
Wanawake ni wengi kuliko wanaume na hiyo ndio ilikuwa sababu kubwa ya kuoa wake wengi hakuna jingine
 
Mimi naon kama unawez kuoa mwanamke zaid ya mmoja oa tuu sio tamaa za ng'ono bali ni dawa ya ndoa ukiwez kutimiz vzr mahtaj kwao wote hata 70% utaish miak ming
 
Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Kwani sisi wanaume tupo kwaajili ya kutatua matatizo ya wanawake?

Wapambane na hali zao tafadhali!
 
Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Dunia ina wanaume wengi kuliko wanawake, na kuna wanawake wengine ambao ni watawa pia na wasagaji
 
Acha ulafi na ubinafsi.

Kama una uwezo ongeza mke. Utapunguza maasi mitaani. Nenda club ufanye tathmini wa wale kina Dada VP wangekuwa kwa waume zao. Je umgemkuta pale, angeruhusiwa kujigeuza kuwa bidhaa?!?
Mtaani pia kuna wanaume wengi hawana wanawake na wakitongoza wanakataliwa
 
Back
Top Bottom