Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Koo tatu kwa babu mmoja?Bro wadiz kwenye uzi wa mshana wa kaoneka umeupiga mwingi ki great thinker uhakika..hata kwa hili nakuunga mkono ni tamaa tu za wanaume za ngono kwa dunia ya sasa ila kwa zamani ilibidi iwe hivyo na ilisaidia kukuza familia kwa mfano me babu yangu mzaa bibi yangu alikuwa na wake watatu leo hii wajukuu zake wote babu mkubwa tunashirikiana koo tatu tofauti..msiba wetu sherehe yetu ..shida siku hizi upendo umepoa sana
This is fallacy of Generalization. Hoja yako imekosa mashiko kwa kutumia nyanja moja kufanya hitimisho. Kwahiyo inaitwa hoja yenye upuuzi jumuishi.Wasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.
Kuna haja wanawake wajikomboe kwenye hili vinginevyo haijakaa vizuri.
Nimewaza radha ya mbususu na mnyanduano nimestaajabu akili kubwa za wazee wa kale.
Wadau wa jukwaa tusaidieni dhana ya kuoa wake wengi kama msingi wake sio starehe ya ngono kwa wanaume ni nini?
Sex=energy
Energy=food
Food = money
Wadiz
Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Wanaume ni wengi kuliko wanawake duniani. Hata nchi kama Afghanistan wanaume ni wengi.Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Wale wa klabu hawataki ndoa, ni maisha yao yale wamechagua.Acha ulafi na ubinafsi.
Kama una uwezo ongeza mke. Utapunguza maasi mitaani. Nenda club ufanye tathmini wa wale kina Dada VP wangekuwa kwa waume zao. Je umgemkuta pale, angeruhusiwa kujigeuza kuwa bidhaa?!?
Kwani sisi wanaume tupo kwaajili ya kutatua matatizo ya wanawake?Je, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Hakika sio urafi tu unapelekea hayo, sababu zipo nyingiThink twice tena brother kaka,,kuna jambo hujalifikiria.
Dunia ina wanaume wengi kuliko wanawake, na kuna wanawake wengine ambao ni watawa pia na wasagajiJe, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Mtaani pia kuna wanaume wengi hawana wanawake na wakitongoza wanakataliwaAcha ulafi na ubinafsi.
Kama una uwezo ongeza mke. Utapunguza maasi mitaani. Nenda club ufanye tathmini wa wale kina Dada VP wangekuwa kwa waume zao. Je umgemkuta pale, angeruhusiwa kujigeuza kuwa bidhaa?!?