Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kwa mujibu wa sensa ya Tz wanawake ni asilimia ngapi na wanaume ni asilimia ngapi.?Sensa inasema
Wanawake ni wengi kuliko wanaume na hiyo ndio ilikuwa sababu kubwa ya kuoa wake wengi hakuna jingine
Yaani hakuna kingine uzinzi wa kiwango Cha lamiWasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.
Kuna haja wanawake wajikomboe kwenye hili vinginevyo haijakaa vizuri.
Nimewaza radha ya mbususu na mnyanduano nimestaajabu akili kubwa za wazee wa kale.
Wadau wa jukwaa tusaidieni dhana ya kuoa wake wengi kama msingi wake sio starehe ya ngono kwa wanaume ni nini?
Sex=energy
Energy=food
Food = money
Wadiz
🙏🙏🙏 Pamoja sana MwambaBro wadiz kwenye uzi wa mshana wa kaoneka umeupiga mwingi ki great thinker uhakika..hata kwa hili nakuunga mkono ni tamaa tu za wanaume za ngono kwa dunia ya sasa ila kwa zamani ilibidi iwe hivyo na ilisaidia kukuza familia kwa mfano me babu yangu mzaa bibi yangu alikuwa na wake watatu leo hii wajukuu zake wote babu mkubwa tunashirikiana koo tatu tofauti..msiba wetu sherehe yetu ..shida siku hizi upendo umepoa sana
Nimechagua eneo moja na nimeuliza swali nimeacha space ya wewe kukinzana na kutoa maoniThis is fallacy of Generalization. Hoja yako imekosa mashiko kwa kutumia nyanja moja kufanya hitimisho. Kwahiyo inaitwa hoja yenye upuuzi jumuishi.
Wasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.
Kuna haja wanawake wajikomboe kwenye hili vinginevyo haijakaa vizuri.
Nimewaza radha ya mbususu na mnyanduano nimestaajabu akili kubwa za wazee wa kale.
Wadau wa jukwaa tusaidieni dhana ya kuoa wake wengi kama msingi wake sio starehe ya ngono kwa wanaume ni nini?
Sex=energy
Energy=food
Food = money
Wadiz
Lakini si anapigwa vitu na jogoo yoyote ndio balaa lilipoHapo ni ngono kwasababu sio siku zote mwanamke atakuwa tayar kusex
So itabidi siku yupo kwenye hal tofaut uwende kwa mke wapil NAONA NI NGONO
ILA hapa wanawake wawe na mwanaume zaidi ya mmoja
Naona hata kwa kuku haipo [emoji23][emoji23][emoji23]sorry
Jogoo anataka wake weng ila mtetea sijaona akiwa na haja ya jogoo weng
Japo namsemea mtetea.. ila sio kwamba namtetea
Hata ukimwangalia
Nguvu za kiume inahitaji mjadala zaidiWrite your reply...Kwa ughali/ ugumu wa maisha ya ckuiz mi sioni Kama Ni busara kuoa wanawake zaidi ya mmoja.
Kama una high sex drive na mkeo hawezi kukuridhisha pekee Yake akaweza Basi mi naona Ni vizuri uende ukanunue Malaya upunguze ugwadu( kumbuka kutumia Kinga) Kisha Rudi nyumbani kwa mkeo uendelee kumhudumia.
Afu ckuiz nguvu za kiume zimepungua kwa Kasi Sana miongoni mwa wanaume wengi.
Kila mtu na mapenzi yake na kila mtu ana malengo yake, ila suala la wanaume kuwa na wanawake wengi ni jambo la kawaida lakini lipo juu ya maamuzi ya mtu binafsi.Wasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.
Kuna haja wanawake wajikomboe kwenye hili vinginevyo haijakaa vizuri.
Nimewaza radha ya mbususu na mnyanduano nimestaajabu akili kubwa za wazee wa kale.
Wadau wa jukwaa tusaidieni dhana ya kuoa wake wengi kama msingi wake sio starehe ya ngono kwa wanaume ni nini?
Sex=energy
Energy=food
Food = money
Wadiz
Hivi mke wako akiwa katika siku zake za hedhi, au akiumwa au akitoka kwenye uzazi au akifanyiwa oparesheni utaishije?Bro wadiz kwenye uzi wa mshana wa kaoneka umeupiga mwingi ki great thinker uhakika..hata kwa hili nakuunga mkono ni tamaa tu za wanaume za ngono kwa dunia ya sasa ila kwa zamani ilibidi iwe hivyo na ilisaidia kukuza familia kwa mfano me babu yangu mzaa bibi yangu alikuwa na wake watatu leo hii wajukuu zake wote babu mkubwa tunashirikiana koo tatu tofauti..msiba wetu sherehe yetu ..shida siku hizi upendo umepoa sana
Umeambiwa alitokana na ubavu wa mwanaume husikiiiii!!!!Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na kibali ha Kuoa waume zaidi ya mmoja.
Hii Takwimu ya wanawake ni wengi kuliko mnaitoleaga wapi nyieJe, unaonaje ukilifikiria hili swala kijamii zaidi? Mfano dunia ina wanawake wengi zaidi ya wanaume. Ukitoa pia kuna makundi ya wanaume ambayo hawaoi kama mapadri, mabudha, mashoga nk. Je huoni ni sawa kwa mwanaume wa sasa kuoa zaidi ya mmoja ili kukidhi matakwa ya kijamii ili wanawake wote wapate kuolewa?
Wanawake ni wengi kuliko wanaume embu acheni uongo basiKiimani lengo kuu ni kupunguza wimbi la wanawake ambao wanaangukia maaasi, kwanza wanawake wapo idadi kubwa kuliko wanaume. Bado idadi hiyo ndogo kuna ambao ni ndugu zao humo hawawezi kuwaoa, bado kuna ambao wanaangukia kundi baya la kutoweza kuwa na mwanamke. Bado kuna wajane humohumo na wanahitaji kustiriwa na kutimiziwa haja zao kihalali pasipo maasi mengine.
Uislamu umeruhusu hili suala ila kwa masharti tena si marahisi kabisa kuyatimiza. Na imewekwa wazi atakayeshindwa hayo aoe mmoja tu, si lazima kuoa mitara na bado huwezi kutimiza uadilifu.
Unatakiwa utimize uadilifu ugawe haki sawasawa kwa kila mmoja, hakuna kupendelea kokote kule kuanzia unyumba hadi vitu vingine iwe kwa haki kwa kila mmoja. Ukiona huwezi hilo umeambiwa oa mmoja tu, na kiimani ukikiuka ni makosa malubwa sana.
Una uwezo na nafasi ya kutimiza uadilifu imaNi inasema unaruhusiwa kufanya hivyo kumsitiri huyo mwanamke asije kuangukia uzinifu au ukahaba kusudi ajipatie kipato chake na kutimiza mahitaji ya mwili. Ila si lazima hata kama una uwezo no hiyari tu
Hizo takwimu za Google una uhakika wamehesabu kila mtu hapa duniani? TZ hii tu uhesabu wa watu ukifuatilia kiundani kuna watu kibao hawajahesabiwa ndiyo sembuse hao wa huko mbali ambao kazi yao ni kukisia idadi tu.Wanawake ni wengi kuliko wanaume embu acheni uongo basiView attachment 2494360
Hiyo reference yako hata wakati unaandaa andiko la kisomi chuoni mbele ya Maprofessa ukiitoa wanaweza kukuondolea maksi kwenye andiko hiloHii Takwimu ya wanawake ni wengi kuliko mnaitoleaga wapi nyie View attachment 2494357