Wakristo wanafunga Siku 40 waislamu. Siku 30
Mkristo akifunga hata umwambie nikaangie chips kuku anakukaangia bila shida haoni kuwa unamkwaza
Waislamu wakifunga ooh swaumu swaumu marufuku kula hadharani na kelele kibao ohhh mimi nimefunga!! Usile mbele yangu yaani shida tupu.Kwa wakristo funga ni yako binafsi usimkere asiyefunga kwa waislamu funga ni jumuiya asiyefunga una kesi utafikiri ndie uliyemtuma afunge!! Ukila chips yako mikelele kibao anakununia ofisini utafikiri wewe ndio ulimtuma afunge