hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Binti wa kigalatia mbona ueleweki!Akili ya mwafrika duni sana. Unamchukia na kumuita kafiri nduguyo kisa utamaduni wa mwarabu ulioletewa kwa mashua na hujui hata histaoria yake na unajiona mkamilifu sana! Utamaduni wa babu zako umeutupa huko!
Tukienda international forum tunashabikia vita kama Simba na Yanga, bila kujali matokeo yake
Tukihamia jukwaa la siasa ni kuilaumu serikali kuwa haijaleta maendeleo. Nimeshajifunza kutokuilaumu serikali kwani ina mzigo mzito wa kuongoza akili za misukule.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Unaanza na sambusa unamalizia na bunduki.
Habari za kuilaumu serikali inatoka wapi tena?