Mbona kwarezma watu wanafunga na wala hawawakatazi wengine kula?

Hua natamani vurugu zao zitokokee kitaani kwangu ndio niwaonyeshe kazi hiyo mindevu yao nitatumia kuchambia.[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15][emoji848][emoji2827]
 
ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu ila Baba yenu aliye sirini; na Baba yenu aonaye katika siri atawapa thawabu.” Akiba Ya Mbinguni.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
wanafiki wakifunga wanataka waonekane mbele ya hadhara kuwa wamefunga yaaani hawa jamaa wa ajabu sana
Kwa huu umskin sidhani kama wanafunga wote kama tunavyowaona msikitini, yaan hiko kama waislamu na pombe, ulishawahi kuona muislamu bar anakunywa pombe? Ni ngumu sana kuwaona lkn nenda sasaiv muulize muhudumu wa bar atakwambia mauzo yameshuka, hata kula wanakula ila ni kwa kujificha sana, unacheza na njaa !!!
 
Inategemea mafundisho ya dini husika! Unaowaongelea wameonywa, wasiwe wanyonge, wategeaji kisa wako mfungoni. Hivyo hawatothubutu kumziia mwingine asile kisa wao wako mfungoni. Ndio majaribu wanayopaswa kuyashinda!

Mathayo 6
16 Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

17 Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;

18 ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi
 
Ww jamaa ni mjinga na mpumbavu wa kiwango cha SGR
 
Kitabu kinasema eti Waislamu wakifika peponi watapewa mabinti mabrika 72 na pombe za kumwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…