Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #41
... plus higher learning institutions - SUA, MU, etc. they bring new people every year, new ideas, thinking, life styles, etc. Sasa mamwinyi wa Lindi culture zao tu tayari ni tatizo!
... umewahi kusikia chuo gani Lindi; hata VETA sina hakika kama ipo.Ivi lindi hakuna vyuo??
Veta ipo mwanzo kabisa ukiwa unaingia mjini..pia kuna chuo cha matabibu.... umewahi kusikia chuo gani Lindi; hata VETA sina hakika kama ipo.
Shukrani kwa ufafanuzi; elimu ni ufunguo wa maisha. Vyuo vikuu vifungue japo matawi Lindi ili wananchi wawe na mwamko na mtazamo mpya. Otherwise, maeneo kama haya huwa ni tatizo - ni mazalia bora ya wale jamaa!Veta ipo mwanzo kabisa ukiwa unaingia mjini..pia kuna chuo cha matabibu.
Hakuna tawi la chuo kikuu.
#MaendeleoHayanaChama
Ila Lindi tatizo nyumba zao daaah, utadhan vibanda afu town hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndio town kati.. Lindi kumepoa sana asee.. Kama mpambanaji bora ukaishi Masasi kuliko Lindi.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sure!
Maisha Lindi ni very expensive sana, Kuna miaka niliishi hapo nikauliza wenyeji mbona vitu ni way too expensive? wakanijibu
"Huku kitu Cha bei rahisi ni chumvi na mwananke" [emoji1787][emoji1787]
Nasikia UDSM wana mpango wa kufungua tawi la marine..ngoja tusubiri tuone.Shukrani kwa ufafanuzi; elimu ni ufunguo wa maisha. Vyuo vikuu vifungue japo matawi Lindi ili wananchi wawe na mwamko na mtazamo mpya. Otherwise, maeneo kama haya huwa ni tatizo - ni mazalia bora ya wale jamaa!
Lindi pamenyata sana.Ila Lindi tatizo nyumba zao daaah, utadhan vibanda afu town hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasiki udsm wanampango wa kufungua tawi la marine..ngoja tusubiri tuone.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VETA ipo town, maeneo ya mnazi m1.... umewahi kusikia chuo gani Lindi; hata VETA sina hakika kama ipo.
Nisiwacheke sana Lindi, maana mwenyewe kwetu hali ni hiyo hiyo japo kuna nafuu kidg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lindi pamenyata sana.
Sema wanawake wa hapo viuno feni..wametumwa kuridhisha mwanaume.
#MaendeleoHayanaChama
Shida ni elimu. Hizi zimambo nyingine za Imani z inaletwa na tamaduni ya watu wa kule kushindwa kukubaliana na maisha ya kisasa(more resistant to modernity)Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori.. mji umejaa umwinyi sana na kurogana.. kiufupi wakazi hasa lindi mjini ni watu wa ndumba sana.
Hili hupelekea vijana wengi kuukimbia huu mkoa na kwenda DSM kusaka maisha na hawarudi kuwekeza kwao.
Asilimia kubwa ya watu walindi sio wasomi yaani hawana elimu dunia bali elimu akhera hili nalo tatizo.
Licha ya kuwa na ardhi nzuri na rasilimali nyingi bado miundombinu hususani barabara hazifiki maeneo mengi hasa vijijini.. maji safi tatizo umeme nao tatizo.
Wajanja wanapata hela sana Lindi kwa maana ya mazao kama ufuta, korosho, mbaazi n.k.
Karibu sana Lindi Ruangwa.
#MaendeleoHayanaChama
Hili pia ni jibu muhimu Sana. Historia pia itasapot hilHaijapewa kipaumbele...
Ndio sehemu moja inaitwa ngongo nje kidogo ya mji kama unaelekea mtwara.Wanafungua Lindi
Mkoloni angetawala hadi mwaka 1980, Tz nzima ingekuwa imepangika kila sehemuJapo Lindi kuna nyumba za zamani lkn ni kati ya miji iliopangika saana. Angalia hii aerial image unaweza sema sio penyewe kabisa
View attachment 2306537
Watu wenyewe hawapendi kusoma upelek chuo cha niniVeta ipo mwanzo kabisa ukiwa unaingia mjini..pia kuna chuo cha matabibu.
Hakuna tawi la chuo kikuu.
#MaendeleoHayanaChama
Hili suala lipo mikoa yote ya pwani ya kusini..mtoto wa darasa la saba ni mtu mzima anayajua mengi..dawa za mpango wa uzazi wanakunywa kama panadol.Wanaroga sio mchezo halafu kule mademu maji mara moja watoto la sita tu mtu mzima ukiingia unaelea wanatumia sana uzazi wa mpango