Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Liwale ipo kushoto sana..ila nilisikia hicho kitu kuanzisha mkoa wa masasi ila sidhani kama itawezekana kwa sasa kwasababu ya population ya huko kusini.

#MaendeleoHayanaChama
Ukianzishwa mkoa pale Liwale huwezi kuiacha sababu hawana option ya kwenda Ruvuma au Morogoro kutokana na Miundombinu
 
Kaa utulie uone kama hiyo gesi itawanufaisha watu wa lindi..mtakua mnaona mabomba yanaelekea dsm tu..mkipendelewa sana mtaona meli tu zinatia nanga kubeba gesi.

#MaendeleoHayanaChama
Kaa utulie uone kama hiyo gesi itawanufaisha watu wa lindi..mtakua mnaona mabomba yanaelekea dsm tu..mkipendelewa sana mtaona meli tu zinatia nanga kubeba gesi.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu ule ni uwekezaji wa zaidi ya Trillion 70. Lazima kwa namna moja au nyingine watu waliopo pale watanufaika.

Mradi ukianza lazima population ya watu zaidi ya 20,000 watakuwepo pale watakaoajiriwa directly au indirectly na mradi. Hapo lazima mzunguko wa pesa uongezeke, makazi ya kuafford hao wageni yajengwe, ajira kwa mafundi hizo na wenye hardwares, lazima scheme za starehe, lodges ziongezeke hapo tayari kodi za Manispaa zinaongezeka.
 
Ngoja tuone...ingawa historia inatuhukumu.

#MaendeleoHayanaChama
 
FEEDBACK!!…

NIMESAFIRI KUFIKA LINDI LEO KUJIRIDHISHA NA UTETEZI WA BAADHI YA VIJANA

1.Lindi Bado ni Mkoa ambao upo nyuma sana kuliko mikoa yote niliyowai kuitembelea na yote ambayo nimewai itembelea
Kifupi bagamoyo pameendelea na kuchangamka kuliko Lindi!!

2.Ina idadi ndogo sana ya watu hivo kufanya iwe sehemu iliyopoa zaidi Tanzania

3.Stand yake n ndogo sana kuliko stand ya Usagara Ya Mwanza misungwi, Tabora mjini,
Kifupi haikaribiani hata nusu ya stand hizi kama ya shinyanga,Mtwara,Mbinga Ruvuma,singida ,
Sijui hata budjet yao ya kujenga na kupanua stand walipeleka wap!!

4.Sehemu kubwa ya Lindi ni mapori makubwa sana (Nashangaa hizi vita za wafugaji na wakulima kanda ya ziwa kwann wasiwahamishie huku wafugaji[emoji3]

5.Sehemu za starehe huku msiba!! (hakuna )
6.Hakuna muingiliano mkubwa wa watu huku
7.Vyuo ndo hivo tena nisiseme mengi

8.Ingawa sijafika Kilwa lakini naona kuna dalili hizi hizi za Mkoa mama huu Lindi!! Nadhani kutakua na sifa hiii hii kubwa Mji wa zamani lakini wa mwisho kwa ukuaji

9.Kuna kiwanda cha cement nadhan n cha dangote ukipita barabarani wamejaza mawe

10.Uchimbaji chumvi upo kwa kiasi kikubwa nadhan ni sehemu ya kipato cha wakazi wa huku

Fursa!!

1.Kilimo na ufugaji-Kuna ardhi kubwa sana huku kwa ufugaji na kilimo!!..cha mazao kama minazi,korosho nk(Sijayafanyia utafiti)

2.Kulingana na uwepo wa Gesi maeneo haya basi ni vema serikali isihamishe gesi huku!! Ifue umeme ndiyo iuunganishe na grid ya taifa kwenda mikoa mingine atleast kutafufua uchumi wa eneo hili!!..

3.Kuanzisha huduma ya gesi majumbani ya mfumo wa kuunganishiwa kama maji
Hii project ingeanzia huku ingeboresha maisha ya wakazi wa hapa pia ingefanya sehemu iwe pendwa kwa watanzania wengi hivo kukuza maendeleo

4.Kujenga vyuo Lukuki hasa huu mkoa!!!…
Uhitaji wa Elimu ya juu bado mkubwa kwa tanzania ,,,,Hivo kuongeza miundo mbinu hii ya vyuo vya elimu ya juu hapa kungeleta uchangamfu wa mji na maendeleo kwa ujumla kadiri watu wanavoongezeka!!
Hapa n kwa sekta binafsi na sekta za umma vyuo n vyuo bana

5.Kuna fursa kubwa sana ya utaliii hasa ukizingatia almost nusu ya mkoa umepakana na bahari, utalii wa fukwe,milima nk na wamajengo ya zamani pia

6. Uvuvi
Kutengeneza mazingira ya kuwezesha uvuvi wa kisasa maeneo haya wa kutumia meli za kisasa pamoja na miundo mbinu na viwanda vya kuchakata samaki

7,8,

Vingine mnaweza kuongezea
 
Tuwe wawazi tu tatizo ni umwinyi na uchawi hapo Lindi. Sehemu yeyote ambako uchawi umetamalaki hainaga maendeleo.

Watu hawavutiwi kuja sababu mji hauna hamasa za kiuwekezaji. Asilimia kubwa ya wana Lindi wana kipato cha hand to mouth. Sasa nani atapeleka hela huko?
Tatizo ni location hizo factor nyingine ni mbwembwe, mji ungekua eneo kama moro hata kue na umwinyi wageni watakuja mji utakua
 
Acheni dharau kwa Lindi.
MRADI WA LNG unaotarajia kuanza muda si mrefu ndio unakwenda kubadilisha kila kitu.
Rais kaamlisha Airport iboreshwe
Chuo cha masuala ya Gas kitajengwa
UDSM nao washachukua eneo na soon wanajenga
Chuo cha Masuala ya Mahakama
Open University
Eneo la viwanda Kutokana na MRADI wa LNG. N.k
Sasa wewe bweteka na kuidharau Lindi, wenzako wanakwenda Lindi kuchukua maeneo na kuwekeza
Baada ya Dar, soon Lindi ndio inakwenda kuwa na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi hapa Tanzania.
You know why? Huu MRADI wa LNG utajengwa km chache kutoka centre of the Town, hivyo mzunguko wa Pesa utaonekana Directly kwa wakazi wa hii Manispaa.
Ukuaji hauwezi kua wa kiwango hicho
 
Lindi iko mwambao wa pwani (Factor kubwa kwa ukuaji wa miji/mji)
Lindi ina beach nzuri (biashara, utalii, uvuvii)
Lindi ina makumbusho ya majengo ya kale nayo pia utalii wa kihistoria
Bado ina ardhi na vinginevyo

View attachment 2307018
Lindi mjini ni maeneo gani yanayojengeka kwa kasi tuoneshe picha kidogo
 
FEEDBACK!!…

NIMESAFIRI KUFIKA LINDI LEO KUJIRIDHISHA NA UTETEZI WA BAADHI YA VIJANA

1.Lindi Bado ni Mkoa ambao upo nyuma sana kuliko mikoa yote niliyowai kuitembelea na yote ambayo nimewai itembelea
Kifupi bagamoyo pameendelea na kuchangamka kuliko Lindi!!

2.Ina idadi ndogo sana ya watu hivo kufanya iwe sehemu iliyopoa zaidi Tanzania

3.Stand yake n ndogo sana kuliko stand ya Usagara Ya Mwanza misungwi, Tabora mjini,
Kifupi haikaribiani hata nusu ya stand hizi kama ya shinyanga,Mtwara,Mbinga Ruvuma,singida ,
Sijui hata budjet yao ya kujenga na kupanua stand walipeleka wap!!

4.Sehemu kubwa ya Lindi ni mapori makubwa sana (Nashangaa hizi vita za wafugaji na wakulima kanda ya ziwa kwann wasiwahamishie huku wafugaji[emoji3]

5.Sehemu za starehe huku msiba!! (hakuna )
6.Hakuna muingiliano mkubwa wa watu huku
7.Vyuo ndo hivo tena nisiseme mengi

8.Ingawa sijafika Kilwa lakini naona kuna dalili hizi hizi za Mkoa mama huu Lindi!! Nadhani kutakua na sifa hiii hii kubwa Mji wa zamani lakini wa mwisho kwa ukuaji

9.Kuna kiwanda cha cement nadhan n cha dangote ukipita barabarani wamejaza mawe

10.Uchimbaji chumvi upo kwa kiasi kikubwa nadhan ni sehemu ya kipato cha wakazi wa huku

Fursa!!

1.Kilimo na ufugaji-Kuna ardhi kubwa sana huku kwa ufugaji na kilimo!!..cha mazao kama minazi,korosho nk(Sijayafanyia utafiti)

2.Kulingana na uwepo wa Gesi maeneo haya basi ni vema serikali isihamishe gesi huku!! Ifue umeme ndiyo iuunganishe na grid ya taifa kwenda mikoa mingine atleast kutafufua uchumi wa eneo hili!!..

3.Kuanzisha huduma ya gesi majumbani ya mfumo wa kuunganishiwa kama maji
Hii project ingeanzia huku ingeboresha maisha ya wakazi wa hapa pia ingefanya sehemu iwe pendwa kwa watanzania wengi hivo kukuza maendeleo

4.Kujenga vyuo Lukuki hasa huu mkoa!!!…
Uhitaji wa Elimu ya juu bado mkubwa kwa tanzania ,,,,Hivo kuongeza miundo mbinu hii ya vyuo vya elimu ya juu hapa kungeleta uchangamfu wa mji na maendeleo kwa ujumla kadiri watu wanavoongezeka!!
Hapa n kwa sekta binafsi na sekta za umma vyuo n vyuo bana

5.Kuna fursa kubwa sana ya utaliii hasa ukizingatia almost nusu ya mkoa umepakana na bahari, utalii wa fukwe,milima nk na wamajengo ya zamani pia

6. Uvuvi
Kutengeneza mazingira ya kuwezesha uvuvi wa kisasa maeneo haya wa kutumia meli za kisasa pamoja na miundo mbinu na viwanda vya kuchakata samaki

7,8,

Vingine mnaweza kuongezea
Hayo mawe uliyoyaona barabarani ni graphite wanaita madini ya viwandani yanapatikana sana huko.

Kuhusu kiwanda cha dangote kipo Mtwara kablaa ya kufika mikindani ukiwa waelekea Mtwara.

Hongera kwa utomaso nadhani umejionea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kidogo umeanza kuwa na akili kwa kitendo chako cha kuishauri serikali hii ambayo kwa kiasi kikubwa imechangia kuudumaza mkoa wetu wa LINDI,ilete uwekezaji katika elimu,viwanda na hata uvuvi;na katika hili la uvuvi serikali katika bajeti hii mpya ishatenga mabilioni kwaajili ya kuanzisha bandari ya uvuvi katika wilaya ya KILWA.

pia ishatenga bajeti kwaajili ya kujenga ndaki ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam,hapo maeneo ya Ngongo.Ni matumaini yangu huko mbeleni wawekezaji watakuja kuwekeza maana mwaka jana walikuja warabu waliletwa na balozi (jinale nimelisahau) walikuja kutazama fursa za uwekezeji wa viwanda kwa kutumia mali ghafi kama vile zao la ufuta,nazi,mwani...

LINDI ina fursa nyingi ila basi tu viongozi waliopita katika hii nchi walikuwa na muona hasi,kwamfano JIWE alitaka kuvuruga mradi mkubwa wa gesi unaotarajiwa kujengwa,sasa mambo kama haya ndio yanatudidimiza wanakusini.
 
Shoo inaanza karibia 70% ya mkoa ni mapori.. mji umejaa umwinyi sana na kurogana.. kiufupi wakazi hasa lindi mjini ni watu wa ndumba sana.

Hili hupelekea vijana wengi kuukimbia huu mkoa na kwenda DSM kusaka maisha na hawarudi kuwekeza kwao.

Asilimia kubwa ya watu walindi sio wasomi yaani hawana elimu dunia bali elimu akhera hili nalo tatizo.

Licha ya kuwa na ardhi nzuri na rasilimali nyingi bado miundombinu hususani barabara hazifiki maeneo mengi hasa vijijini.. maji safi tatizo umeme nao tatizo.

Wajanja wanapata hela sana Lindi kwa maana ya mazao kama ufuta, korosho, mbaazi n.k.

Karibu sana Lindi Ruangwa.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu upo Ruangwa kijiji gan,Mandawa,mandarawe,mbekenyera,Luchelegwa,Mbecha,Chienjere,Nandagala,Chimbila,mnacho,mibure,nkowe,Nandenje au Ruangwa ipi tufahamiane mkuu
 
Hayo mawe uliyoyaona barabarani ni graphite wanaita madini ya viwandani yanapatikana sana huko.

Kuhusu kiwanda cha dangote kipo Mtwara kablaa ya kufika mikindani ukiwa waelekea Mtwara.

Hongera kwa utomaso nadhani umejionea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Ndyo mkuu nadhan Nashukuru kwa input zako kuhusu kiwanda cha dangote!!
Niliyumbiswa
 
... Halafu wanakuja kupiga kelele baadaye walitengwa! Anyway, Lindi imetoa watu maarufu nchi hii; Simba wa Vita, First Lady, current PM. Kama naona Ruangwa itajitenga kuwa mkoa unaojitegemea maana hadi timu wana timu yao ligi kuu.
Migodi inapabeba kwa kiasi flani Ruangwa,huko mbeleni naiona inakuja kua kama chunya au kahama naa Geita...
 
Back
Top Bottom