Ni mpango wa kugawana nyara tuKila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri , lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Tutamkumbuka MaRope kama Sukuma Gang wanavyomkumbuka mungu wao Jiwe...Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri , lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Unafikiri kwenye kuendesha nchi kuna taa ya ajabu ya Aladin wa Alfu lela u lela?Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri , lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Waende mahakamani as long as walikuwa na hati halali...Hata mabadiliko ya Wakurugenzi
Mfano Mkurugenzi wa Dodoma Jiji
Mkurugenzi aliye ondolewa aliingilia maeneo ya Nkuhungu yaliyo kuwa yamepimwa na Yana hati miliki na deed plan yeye Kwa ujanja ujanja wake kutumia wanasiasa na wataalam kuanzia mkkoani mpaka wizarani wamefanya maeneo ya Nkuhungu,Matuli yaonekane kama hayajaeahi kupimwa na kupangiwa matumizi
Hivyo Mkurugenzi aliyeondoka aka force itumike Sheria ya Eneo kupimwa Kwa kutumia Mabalozi wa mitaa ili apate asilimia 30 za upimaji
Mbaya zaidi hizo asilimia walizo nyanganywa wenye hati hata fedha zake hazijaingia Jiji
Ukienda unakuta Wavamizi ndiyo wamepewa eneolako
Hao Wavamizi wamelipa Nani mpaka wawe na haki yakuwepo kwenye Eneo lililo kuwa linamilikiwa na kulipiwa na aliye dhulumiwa?
Huyu Mkurugenzi Mpya haoni kuwa atakuja kulipa dhuluma hii kama wale wa Arusha walio dhulumu maduka ya fedha za kigeni?!!
Huu mchongo wa kujitajirisha maafisa Ardhi wa Jiji Kwa kuwalambisha Mabalozi Kwa mtindo wa Uvamizi Utaliingiza Jiji la Dodoma katika deni kubwa Sanaa!!
Kama ni Siasa naamani Wavamizi wamalizane na wenye hati halali
Siyo kuwanufaisha Maafisa Aridhi
Kwani kesi ya haki zawatu wenyewe watakuwa wametajirika Jiji ndilo litapata hasara hivyo ni hasara Kwa Watu wote wa Dodoma
Nchi ni "sold out"Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri , lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Hata maana ya "sold out" huielewi, huwa mnakurupuka tu na lugha za watu.Nchi ni "sold out"
Kunao walio kwenda Mahakamani na amri ya uvunjaji zikatolewa Kilichofuatia ni kuundwa kamati hivyo kuzuia utekelezaji kisiasa kwani msimamizi wa kuona amri inatekelezwa ni Mkuu wa WilayaWaende mahakamani as long as walikuwa na hati halali...
Yanaleta tija kwao na familia zao.Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri , lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Nani alikwambia kuwa hayo mabadiriko huwa na lengo la kuleta tija?!huyo mchengerwa ,jenister toka wamekaa humo kuna chochote cha maana wamefanya?lakini mbona kila siku wamo tu?!!Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri , lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Zitto na muhusika walisema Umeme unakatika kwa sababu zaidi ya miaka Sita mifumo ya Umeme haikufanyiwa ukarabati. Wakatangaza Ukarabati na kuweka "software mpya ya kihindi" kuongeza ufanisi wa Tanesco!!!Tumekuwa majinga kwa kiwango cha kuamini mwanasiasa aitwaye waziri ndio suluhisho la tatizo la mgao wa umeme....
Sasa ulitegemea ukarabati ungefanyika kwa miezi mitatu? Tatizo mangwini wengi wanafikiri kuweka miundombinu imara na ya uhakika ya umeme kwa Taifa ni sawa na kutunga beti sita za mashairi ya Andanenga...Zitto na muhusika walisema Umeme unakatika kwa sababu zaidi ya miaka Sita mifumo ya Umeme haikufanyiwa ukarabati. Wakatangaza Ukarabati na kuweka "software mpya ya kihindi" kuongeza ufanisi wa Tanesco!!!
Sasa hivi hawatuelezi sababu nyingine ya kukatika kwa Umeme!