TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa hiyo ukarabati mkubwa bado haujaisha, "Mzee baba"?Sasa ulitegemea ukarabati ungefanyika kwa miezi mitatu? Tatizo mangwini wengi wanafikiri kuweka miundombinu imara na ya uhakika ya umeme kwa Taifa ni sawa na kutunga beti sita za mashairi ya Andanenga...
Utaisha lini huo ukarabati? Maana January (Mbunge na Waziri) amekaa pale Nishati zaidi ya miezi mitatu!