TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa hiyo ukarabati mkubwa bado haujaisha, "Mzee baba"?Sasa ulitegemea ukarabati ungefanyika kwa miezi mitatu? Tatizo mangwini wengi wanafikiri kuweka miundombinu imara na ya uhakika ya umeme kwa Taifa ni sawa na kutunga beti sita za mashairi ya Andanenga...
Mambo mengine ukae kimya wewe bibi kilembwe uliyepitwa na wakati kila unachowaza ni uccm tu huna loloteUnafikiri kwenye kuendesha nchi kuna taa ya ajabu ya Aladin wa Alfu lela u lela?
Unatolewa kwenye minyororo ya umasikini bado huoni.
Unafahamu kuwa mara ya kwanza Tanzania watu wanapewa ardhi ya kilimo, wanapewa mafunzo ya kilimo na ujasiriamali wake, unapewa kuanzia shamba, kusafishiwa shamba, mpaka iuv u kulima na mpaka soko la mazao yako kwa kuwezeshwa?
Wewe itakuwa ni katika wale wenye macho lakini hayaoni, una mamasio lakini hayasikii, kwenye mioyo yao kuna maradhi...
CcmBado hutajelewa hasa chanzo cha matatizo yetu.
Miezi mitatu hata wewe ukijenga nyumba yako ndogo muda sio rafiki. Sembuse mamiradi makubwa yanayohitaji mabilioni ya mahela na utaalamu uliotukuka?Kwa hiyo ukarabati mkubwa bado haujaisha, "Mzee baba"?
Utaisha lini huo ukarabati? Maana January (Mbunge na Waziri) amekaa pale Nishati zaidi ya miezi mitatu!
š¤£š¤£UsimtukaneMambo mengine ukae kimya wewe bibi kilembwe uliyepitwa na wakati kila unachowaza ni uccm tu huna lolote
Wewe nawe Kilaza,aliyekwambia Watanzania wana shida ya Ardhi ni nani? Mwalimu Nyerere aliwapa Ardhi Watanzania siyo kama Kenyatta aliyekuwa anawapa marafiki zake na kabila lake.Unafikiri kwenye kuendesha nchi kuna taa ya ajabu ya Aladin wa Alfu lela u lela?
Unatolewa kwenye minyororo ya umasikini bado huoni.
Unafahamu kuwa mara ya kwanza Tanzania watu wanapewa ardhi ya kilimo, wanapewa mafunzo ya kilimo na ujasiriamali wake, unapewa kuanzia shamba, kusafishiwa shamba, mpaka iuv u kulima na mpaka soko la mazao yako kwa kuwezeshwa?
Wewe itakuwa ni katika wale wenye macho lakini hayaoni, una mamasio lakini hayasikii, kwenye mioyo yao kuna maradhi...
To be honest Samia amefeli na kitu kingine nimegundua haijui nchi kabisa,anaambiwa tu na yeye anakubali.Bado hutajelewa hasa chanzo cha matatizo yetu.
Yeye anasema sio adhabu ,kwa maana nyingine hata wasipodeliver amna wa kuwasumbuaKila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana.
Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati.
Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na Jana yake the whole day hapakuwa na umeme!
Naona yamemshinda nani kama mama!
Wew kumbe ni Uvccm maana naona waliopewa ni uvvccm pekeeUnafikiri kwenye kuendesha nchi kuna taa ya ajabu ya Aladin wa Alfu lela u lela?