Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

Kama kuchoma vifaranga ni dhambi mkuu vipi kuchinja kuku au kuchinja mbuzi?
Siko upande wowote ila kwenye swalala vifaranga ningeomba nitowe link hizi na sheria ili ziwasaidie hata wengine huko mbeleni


 

Attachments


Baada ya hizo vifungu naomba uliza ni dhambi au sio dhambi?
 
Walikuwa wanachoma moto wanyama wakiwa wamekufa

Kwa iyo ukiwachoma wakiwa hawajafa ni dhambi, ni dhambi katika amri kuu za Mungu inaingia wapi?

Je kipindi Unashuka moto wa sodoma na gomola walichomwa hadi wanyama wasio na hatia. Je halikutambulika ilo kama dhambi?
 
Kweli Hawa jamaa Wana dabostandadi sijawahi kuona.viva
 
Simshangai Samia kufanya haya, Watanzania tunajulikana kwa unafiki na kujipendekeza, ni wachumia tumbo balaa licha ya kutokukubaliana na yale aliyoyaamini Magufuli hakuuachia umakamu alikomaa tu.Tusiwashangae akina Mkenda, Mwambe nk wale hawawezi kujiuzulu ng'o, ugali hauwezi kuachwa hivi hivi aisee.
 
Mi pia nasubiri kwa hamu sana. Acha we peane ma hope

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Tena wamkome na wamtue,acheni Mama afanye Kazi.
 
Kwa iyo ukiwachoma wakiwa hawajafa ni dhambi, ni dhambi katika amri kuu za Mungu inaingia wapi?

Je kipindi Unashuka moto wa sodoma na gomola walichomwa hadi wanyama wasio na hatia. Je halikutambulika ilo kama dhambi?
Wewe sijui unawazaje. Kwani wale vifaranga walikuwa wanachomwa kwa sababu ya maasi ya mji. Ile si ilikuwa amri ya mwenyezi Mungu. Sijui mtiririko wako wa mantiki unaupata wapi lakini ni wazi una walakini. Na amri ya Mungu imeshawahi kutokea sio mara moja au mbili katika miji yenye kumkufuru Mungu. Unataka kusema Mungu ndo mwenye dhambi kwa kuchoma hiyo miji?
 
Magufuli hakua na hakuwahi kuwa makamu wa rais wa Kikwete popote pale.
Ni hayo tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 

Kweli Mwenyezi Mungu fundi. Maana hakuna lililo na mwanzo likakosa mwisho. Hata yaliyopo leo sio kwamba yatadumu milele
 
Tulishakubaliana kuwa Hangaya hatoshi, mengine yote yanaingia humo.
 

Kabisa Kabisa Mkuu.! Hata Filipo yupo tu kama picha ya kuchora ila hawezi kujiuzulu kamwe.
 
Kwa kuwa wewe hutakufa. Na kwa vile wewe unaroho nzuri. Tusiwe na roho ngumu hivi ya kuhukumu wafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…