Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Tena amkosoe sana sana maneke na yeye atakuja kukosolewa tu. Hasa wakija kuingia Sukuma Gang itakuwa kamzilimbano haswaaaa!
Sukuma gang ni wagonjwa wa skili woote! Hawafai.....kwani jiwe alipokuwa anamkosoa Kikwete!! Yeye huyo jiwe alikuwa baraza gani la uwaziri??.....km alijua kikwete anakosea!! Haendani na sera zake. simple tu angejiuzuru akaingia upinzani na akaishi km mrema!!Tena amkosoe sana sana maneke na yeye atakuja kukosolewa tu. Hasa wakija kuingia Sukuma Gang itakuwa kamzilimbano haswaaaa!
Uteuzi aliukubali. Akaiba.akapata umaarufu kupitia kikwete,Mkapa nk. Then leo eti anamnanga Baba na Boss wake kubwa...jamani ivi kweli jiwe alikuwa mzima au alikufa kitambo kabla??
Km kikwete alikuwa mwizi angesemea kulekule, aone moto. Lkn hata ivo Mungu alimlaani jiwe kwa kutamka ubaya kwa walio mlea. Babako akikutania anakuweka karibu na kukuondolea uoga..siyo na wewe sasa umrudishie utani umtanie....mwee!! Ukifanya ivo weye ni kimeo Huna akili.