Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Ni dalili kwamba anga limemkataa huyo mwamba,Kwa kiasi Fulani mafuriko ya rufiji yanachangia Hali hiyo
 
Kwani Makonda ni rain God. Arusha mvua kubwa hunyesha mlimani hususani mlima Meru na maji mengi husomba miti na mifugo, hata matrekta n.k huleta mjini. Acheni chuki zenu binafsi kwa Makonda yeye ni binadamu kama wewe.
Bashite ni binadamu lakini ni binadamu muovu,ndiyo maana nchi zinazojielewa wamempiga marufuku kuingia kwao.
 
Sasa yakishaflow huko yanakoenda kuishia si ndio wanakumbwa na furiko?
HAPANA
Maji yanayotoka kuanzia mito na mifereji mikubwa kuanzia Namanga, Longido, Ngaramtoni, Mianzini, Themi, nenda mpaka mto Weruweru, njia panda kule mpaka Marangu na Rombo maji yote hayo yanaenda Bwawa la Nyumba ya Mungu kisha yanapita Mto Ruvu then Pangani na mwishoe Bahari ya Hindi
 
Back
Top Bottom