Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Ukisikia Mafuriko ya namna hiyo yanatokea Arusha au Kilimanjaro ujue ni laana kwasababu kwa nature au landscape ya mikoa hiyo haipaswi kupata mafuriko ya namna hiyo since mikoa ipo chini ya milima kwahiyo maji yanaflow tu
 
Sasa yakishaflow huko yanakoenda kuishia si ndio wanakumbwa na furiko?
Ukisikia Mafuriko ya namna hiyo yanatokea Arusha au Kilimanjaro ujue ni laana kwasababu kwa nature au landscape ya mikoa hiyo haipaswi kupata mafuriko ya namna hiyo since mikoa ipo chini ya milima kwahiyo maji yanaflow tu
 
Kwani Makonda ni rain God. Arusha mvua kubwa hunyesha mlimani hususani mlima Meru na maji mengi husomba miti na mifugo, hata matrekta n.k huleta mjini. Acheni chuki zenu binafsi kwa Makonda yeye ni binadamu kama wewe.
 
Back
Top Bottom