Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Bora hata ulivyokoment maana nilikuwa nakutafuta sikuoni, nikajua ni ile yako 😅
Njiro imenyesha mvua kubwa sana.
Lakini maji yamepita,, tumeamka nje pako salama.

😂😂😂 ningekuwa nimo ndani kuna defence mechanism moja mwal flan alinifunza. Ningeijaribu 🥹🥹

Ila kama haumo basii tena, kinaenda.
 
Njiro si ushuani maji mmeyaelekeza yakaelekezeka.

Defence gani hiyo tufundishe huenda tukaisaidia jamii.
 
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

Makonda anakaribishwa.
 
Njiro si ushuani maji mmeyaelekeza yakaelekezeka.

Defence gani hiyo tufundishe huenda tukaisaidia jamii.
😂😂😂 acha basi hizo mambo.

Sijawahi ijaribu. Sijui ufanisi wake, ila ukiwa kwenye maji… maji yakafunika bampa yakaanza kufikia na pua ya gari. Hakikisha mguu wako usitoke hata kdg kwenye accelerator.
Kanyagia hiyo wese uwezavyo itapeleke gari kutoa hewa nje na bla bla za kifundi hapo basi hutoyumbishwa nadhani😂😂

Ni maneno ya mwal
Si yangu. 😂😂
 
Mkuu Kimavi kiko na wazazi wako walioshindwa kukulea kwa maadili ambayo yangekuweka katika hali ya kuheshimu viongozi wa nchi yako,poor you
Muuaji kama makonda hastahili heshima yoyote yule anachostahili ni hukumu ya kunyongwa hadi afe. Wewe nawe una kimavi ndiyo maana maisha yamekushinda hadi umeishia kuwa chawa ili mkono uende kinywani. Ungekuwa na maisha bora usingekuwa chawa masikini wa akili na mali wewe
 
Mkuu Kimavi kiko na wazazi wako walioshindwa kukulea kwa maadili ambayo yangekuweka katika hali ya kuheshimu viongozi wa nchi yako,poor you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Bashite naye anastahili heshima. Bashite kweli ni laaana aisee
 
Muuaji kama makonda hastahili heshima yoyote yule anachostahili ni hukumu ya kunyongwa hadi afe. Wewe nawe una kimavi ndiyo maana maisha yamekushinda hadi umeishia kuwa chawa ili mkono uende kinywani. Ungekuwa na maisha bora usingekuwa chawa masikini wa akili na mali wewe
Kamnyonge sasa,keyboard warrior,kama unaushahidi wa tuhuma zake peleka mahakamani
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-29-07-56-10-583_com.android.chrome~2.jpg
    Screenshot_2024-02-29-07-56-10-583_com.android.chrome~2.jpg
    108.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom