Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

Unayajua majanga wewe au unaropoka tuu?

Ukiona kilichotokea Mozambique,Libya au Malawi?

Saizi Kuna Ukame Zambia,Zimbabwe,Somalia na Ethiopia huko Serikali ximetangaza majanga.

Unapoambiwa Kuna El nino ulijua ni mzaha au? Na hapo Bado Mikoa 14 ijiandae kuanzia tarehe 14 itashuka ya kuzidi..

Mwisho El nino huambatana na ukame so msimu ujao hakuna mvua,nimeona Serikali imeanza kujiandaa kununua Tani 700k za nafaska msimu huu wa mavuno.
 
Kuna watu wanasema Ni lile bwawa ndo chanzo...mfyuu
 
Bwawa la Nyerere limejengwa kindezi sana. Huyu jiwe huyu
 
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

MUNGU KACHUKIZWA NA CCM
 
Vipi akina Pambalu na yule askofu 'mwanamapinduzi' wameshaonekana huko?
 
Ndio kiama au?! Kuna nabii alitabir dar kumezwa na maji..
Mimi nilimaliza elimu ya sekondari meishoni 1990s,nilisoma environmental nini sijui,wakisema huko mbele (Leo) kutakua na mvua nyingi na mafuriko au ukame wa kupitiliza,kina Cha Bahar kitapanda na visiwa kuzama
 
12 April 2024
Arusha

Mrisho Gambo amrai mkuu wa Mkoa wa Arusha kuhusu madaraja kufuatia ajali la basi la wanafunzi wa Ghati Memorial School kufuatia ajali ya basi la shule leo tarehe 12 April 2024

GARI YA SHULE IKIWA NA WANAFUNZI YATUMBUKIA MTONI ARUSHA, MMOJA AFARIKI, SABA HAWAJULIKANI WALIPO

View: https://m.youtube.com/watch?v=S4BgAPay-v8

Felician Mutahengerwa mkuu wa wilaya ya Arusha amesema gari lilikuwa na wanafunzi 11, matron na dereva

View: https://m.youtube.com/watch?v=Qua7dHeAlkI
 
Back
Top Bottom