Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

Niliona GIZA limeifunika Tanzania.

Ni suala la muda tu.
 
Wakati waja na hauko mbali kwani jinai haiozi.
Lini sasa acha kujitia stress bure,mlisema magufuli.ana mbena,magufuli hayupo hakuna aluyefungua kesi,mkasema mama atafungua kesi dhidi yake waoi mama ndo anazidi kumpa vyeo.

Utakufa kibudu
 
Lini sasa acha kujitia stress bure,mlisema magufuli.ana mbena,magufuli hayupo hakuna aluyefungua kesi,mkasema mama atafungua kesi dhidi yake waoi mama ndo anazidi kumpa vyeo.

Utakufa kibudu
Lile bwege la chato ndiyo lilikufa kibudu.
 
😂😂😂 acha basi hizo mambo.

Sijawahi ijaribu. Sijui ufanisi wake, ila ukiwa kwenye maji… maji yakafunika bampa yakaanza kufikia na pua ya gari. Hakikisha mguu wako usitoke hata kdg kwenye accelerator.
Kanyagia hiyo wese uwezavyo itapeleke gari kutoa hewa nje na bla bla za kifundi hapo basi hutoyumbishwa nadhani😂😂

Ni maneno ya mwal
Si yangu. 😂😂
Jichanganye 😂
Hiyo fizikia ndio ulisomea pale msalato galz?
 
Leo kuna mafuriko Kisongo Arusha. Nayo yamesababishwa na Bwawa na Nyerere alilojenga Hayati Rais Magufuli!??
 

Attachments

  • IMG-20240411-WA0007.jpg
    IMG-20240411-WA0007.jpg
    60.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom